Rais Samia aache kukwepa majukumu

Ile ripoti ya CDF anaichukulia Kama ripoti ya CAG.
Inapigwa muhuri wa NO ACTION.
for archives only.
shughuli ya CCM sio mchezo ,tukubali kwamba ,kama sio mwinyi Kuja kugombea urais JMT basi msishangae nchimbi JOHN
 
CDF kapata wapi hii confidence
CCM wasikiage

Kimsingi inaonekana vijana wake wa kazi wamemwambia usiposema tutachukua hatua wakakoti na kauli ya baba wa taifa ,ikulu ni pahala patakati sio pango

Mkunda yule Yuko chini ya watu pamoja na huo ukubwa wake , PIA skonga Ipo ya kutosha
 
shughuli ya CCM sio mchezo ,tukubali kwamba ,kama sio mwinyi Kuja kugombea urais JMT basi msishangae nchimbi JOHN
Rais ajaye Ni ndugu yetu January Makamba mbunge. Kijana msomi, asiye na makuu, halafu busara imetulia mle. Hana tamaa, anatosheka na MISHAHARA wake. Mstaarabu Wala Hana pupa Wala PAPARA. Hana nyumba ndogo Wala michepuko, sio mlevi.
 
na mama kaingia kichwa kichwa kumpa ukatibu mkuu ndg yangu NCHIMBI JOHN madogo wote na January wakikulia viunga vyeeuuuupe peeeee pale magogoni miaka yote

Bila kujua KASOKOTEWa msokoto na mapusha wako pale KIMYA
 
Ulikuwepo kwenye uchaguzi wa 2010 wakati CCM wakimwengua Hussein Bashe kwa sababu za Uraia?. Tena Katibu Mkuu akiwa Yusuph Makamba.
 
Ukijua Rais ni mkuu wa serikali, mkuu wa nchi, na Commander In Chief all-in-one, utajua nani yupo informed zaidi na nani ni boss la maboss.

Kwa hivyo rais yupo informed na mambo ya ulinzi kuliko CDF?. Yani Rais yupo informed kuhusu benki kuu kuliko gavana wa benki kuu?. Tuwe wakweli. Rais anapewa taarifa kidogo tu, Tena inapobidi.
 
Nadhani sababu ya pili ndio ya ukweli. Bibi hakusikiliza vizuri.
 
Mama Samiah kapuyanga. Ashughulike na wakimbizi serikalini na sio kujificha kwenye mgongo wa upinzani.
 
Ulikuwepo kwenye uchaguzi wa 2010 wakati CCM wakimwengua Hussein Bashe kwa sababu za Uraia?. Tena Katibu Mkuu akiwa Yusuph Makamba.

Sio Bashe tu aliyewahi kupewa hizo allegations, Jenerali Ulimwengu tena akiwa balozi kabisa na wengine wengi. Bdae inakuja kuthibitika ni watanzania kuliko wewe mmatumbi.

Hizi allegations zinatokana na ujinga wa watanzania walio wengi ndo maana nakwambia CDF wenu kapuyanga ndo maana boss wake kampuuza. Hakuna mkimbizi serikalini, tatizo ni ujinga na kutokujua sheria. Kamishna wa Uhamiaji anajua hili ndo maana hata hajajisumbua kutoa ufafanuzi.
 
Kwa hivyo rais yupo informed na mambo ya ulinzi kuliko CDF?. Yani Rais yupo informed kuhusu benki kuu kuliko gavana wa benki kuu?. Tuwe wakweli. Rais anapewa taarifa kidogo tu, Tena inapobidi.

The buck stops at the CIC's desk. Elewa hilo. Ukijua hilo utajua nani ni Boss, nani ana information zaidi na nani make the calls. Mteule awe mkubwa kuliko mteuzi toka lini?
 
Kwanini hiyo taarifa CDF asingempeleka Rais ofisini kwake kimya kimya?. Kwanini hadharani?

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Yani wewe raia wa kawaida unadai CDF kapuyanga. Ina maana wewe raia una taarifa zote kuliko CDF. Punguza kudharau nafasi ya CDF na kuichukulia Kama Katibu kata.
 
The buck stops at the CIC's desk. Elewa hilo. Ukijua hilo utajua nani ni Boss, nani ana information zaidi na nani make the calls. Mteule awe mkubwa kuliko mteuzi toka lini?

Wewe unaongelea Cheo Mimi naongelea nani yupo kwenye ground anayejua in and out. Rais atapewa taarifa pale anapohitaji na pale itakapohitajika kupewa. Ila CDF yeye yupo kwa ground na anajua yanayoendelea kila siku.

Unakumbuka kwenye msiba wa Magufuli?. CDF mabeyo alimwambia Rais Kuna Jambo atamwambia wakiwa wawili faragha. Usishangae lilikuwa hilihili alilolisema CDF Mkunda.
 
Yani wewe raia wa kawaida unadai CDF kapuyanga. Ina maana wewe raia una taarifa zote kuliko CDF. Punguza kudharau nafasi ya CDF na kuichukulia Kama Katibu kata.

Sijasema mimi nimesema boss wake kapuuza madai yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…