The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Huwa hasomi ripoti za uchaguziUnaandika vitu usivyo vifahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa hasomi ripoti za uchaguziUnaandika vitu usivyo vifahamu
Mnamuonea!!
Hakujiandaa kuwa Rais Wala hakua na vipaumbele vyake,malengo na hulka imekuja baada ya kupata!!
Ndio maana amepwaya coz akili haikujiandaa!
CCM ingemsaidia kumpumzisha lakini Kwa ujinga tulioukumbatia was kofia mbili ya uenyekiti na urais in one,inafanya process kuwa ngumu Hadi dark arts zitumike ndio tuweke mambo sawa!!
So sad!
Hapa Tanzania kuwa huru kutoka makucha ya CCM ni mpaka hapo vyombo vya ulinzi na usalama vitakapo gawanyika(Kwamba,Wengine waiunge mkono CCM,na Wengine zaidi ya Nusu waseme Kuilinda CCM,nooo ! Hata RAIA wazalendo ndani ya nchi,hata na Nusu ya CCM au zaidi ya moja ya Tatu,Wote kwa pamoja wakianza kuandamana kuelekea STATE House,Halafu Police na Wanajeshi walio wengi Nao wanakaa tu pembeni ya barabara kama vile wanashangaa na bila kuwapiga waandamanaji,Hakika ujue Ukombozi tayari !
Ukute hata hakuelewa kilichosemwa na mkuu wa majeshi.
Uwezo wa kujibu hoja hapo kwa hapo ni kipaji na kinahitaji uelewa na akili za hali ya juu.
Kila ufafanuzi anaotoa inakuwa tayari keshakaririshwa na wasaidizi wake. Kumpa swali la hapo kwa hapo ni sawa na kumpa mwanafunzi mtihani tofauti na aliovujishiwa.
Atakuja kujibu siku za mbeleni baada ya kuandikiwa majibu. Na huo ndio ukomo wa uelewa wake
Hamna kitu pale, mnatetea monita asiyeyaweza majukumu, jukumu alilopewa ni zito sana, kile cheo ni kikubwa kwake
Mm ccm ila makonda ni simkubali
CDF ni mzalendo sana.Hapo alibugi Sana. Unampa mnyarwaanda nafasi nyeti Kama hiyo. Hayupo serious.
Kama mkuu wa majeshi anakurupuka nani ana uhakika na Hilo jambo
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .[emoji419][emoji375]Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .
Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia , kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Dark arts tena mkuuMnamuonea!!
Hakujiandaa kuwa Rais Wala hakua na vipaumbele vyake,malengo na hulka imekuja baada ya kupata!!
Ndio maana amepwaya coz akili haikujiandaa!
CCM ingemsaidia kumpumzisha lakini Kwa ujinga tulioukumbatia was kofia mbili ya uenyekiti na urais in one,inafanya process kuwa ngumu Hadi dark arts zitumike ndio tuweke mambo sawa!!
So sad!
Hata JWTZ ni Rais pia anawahakiki, ndani ya JWTZ Rais ana watu wa usalama wengi tu, ama laaa, Mkuu wa Majeshi atuambie kwamba yeye Mkuu wa Majeshi ameyaona kwa wanasiasa tu na watendaji wa nje ya jeshiKwa hivyo kwa kauli yako ni kwamba JWTZ walikurupuka.
Sidhani, kuwa, JWTZ, walikurupuka. Aidha JWTZ ni miongoni mwa taasisi za, Rais yeye kama amiri Jeshi mkuu. Kabla hawajaongea, alikuwa na taarifa, hiyo.Ufahamu wa wabongo wengi hupo china Sana. Kila kitu wanakifanya kuwa ni siasa tu.Kwa hivyo kwa kauli yako ni kwamba JWTZ walikurupuka.
Kaa ukijua kuwa CDF aliambiwa atoe hilo tangazo ili Rais ambaye ndiye mtoa agizo hilo apate wasaa wa kuwatishia na kuwatia hofu Watanganyika kuwa hawamu hii ya uchaguzi jeshi litakuwa liko tayari kwa lolote hasa upande wa vyama vya siasa.Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .
Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia , kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Hawaja kurupuka,bali CDF alipewa agizo hilo na aliyetoa agizo hilo ndiye huyohuyo aliye waagiza hadharani sasa ya kwamba wakae mkao wa kula.Sidhani, kuwa, JWTZ, walikurupuka. Aidha JWTZ ni miongoni mwa taasisi za, Rais yeye kama amiri Jeshi mkuu. Kabla hawajaongea, alikuwa na taarifa, hiyo.Ufahamu wa wabongo wengi hupo china Sana. Kila kitu wanakifanya kuwa ni siasa tu.
Rais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara
CDF ni sehemu tu ya vyombo vya Rais, na Rais hawajibiki kumuamini CDF moja kwa moja, ndio maana ana taasisi zaidi ya moja za kumpa taarifa...Kwa hiyo vyombo vilivyompata CDF taarifa vimekurupa au si vya kuaminika?
Umeshindwa kuelewa kua CDF kaamrishwa aseme yale?Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .
Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia , kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Unategemea kweli Stenographer awe Makini na Mwerevu kama utakavyo Wewe Mkuu? Tuivumilie tu hiyo bahati mbaya tuliyonayo kwa sasa.Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .
Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia , kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Katiba kama inaruhusu kuna shida gani, kuna mtanzania ni waziri huko Ujeruman na anaongea kiswahili vizuri tu, sijawahi kusikia wajeruman wakilalamika, Waziri mkuu wa Uingereza ni muhindi sijawahi kusikia waingereza wakilalamika.Aacheni utoto.Yule ni mnyarwanda kabsa na mdogo wake yupo foreign