Rais Samia aache kukwepa majukumu

Rais Samia aache kukwepa majukumu

Ilo la umeme kasha shindwa zamani sana..hili la sukari nalo kaambiwa kazila ana kisirani uyu bibi
Mkiwa na katiba mbovu lazima mtawapata viongozi wabovu wasiowajibika kwa wananchi
 
Mnamuonea!!

Hakujiandaa kuwa Rais Wala hakua na vipaumbele vyake, malengo na hulka imekuja baada ya kupata!!

Ndio maana amepwaya coz akili haikujiandaa!

CCM ingemsaidia kumpumzisha lakini Kwa ujinga tulioukumbatia was kofia mbili ya uenyekiti na urais in one, inafanya process kuwa ngumu Hadi dark arts zitumike ndio tuweke mambo sawa!!


So sad!
Jana hukusikia upuuzi wa wanaccm pale Mwanza wakati wavuvi wanapewa rushwa ya maboti?
 
Kwa hiyo cdf alimdanganya raisi au kama kuna vyombo vingi mbona wakimbizi kibao wamejaa maofisini, mitaani hivyo vyombo viko wapi.Mm niko hapa Kigoma kila kona wamejaa warundi mpaka kwenye mabaa sasa hivyo vyombo haviwaoni?

Ofisi gani ya serikali ina wakimbizi kama watumishi?

Mnadhani huko Kigoma mpo peke yenu?
 
Haya, kila mtu na fikra zake. Ndio maana mpaka leo CCM inatawala kwa sababu fikra zake ni tofuti na mnavyofikiri nyinyi.

CCM inaujwa upinzani, juu chini, iliuanzisha yenyewe na bado inau control mpaka kesho. Inauchezea kama vinyago vya mapapure.

Wewe wasema. Ingekuwa hivyo wasingekuwa wanahangaika na miswada wa Time Huru ya uchaguzi au danadana za Katiba Mpya.
 
CDF kapuuzwa sababu kaongea pumba yeye kama yeye. It has nothing to do with JWTZ.

Sikubaliani na wewe kwenye Hilo la kusema kaongea yeye Kama yeye. Hapana, CDF ni nembo ya jeshi, hawezi kuamka kitandani akatoa madai makubwa Kama Yale.
 
Nchi iko salama sababu boss wake anajua anachokifanya.

Huwezi kusema nchi ipo salama , halafu wakati huo unadai CDF kapuyanga. Kama CDF kapuyanga Ulinzi wa nchi utakuwaje?. Ndio maana Mimi naamini CDF alikuwa sahihi.
 
Ule ulikuwa ni mkutano rasmi wa JWTZ, hivyo basi Mkuu wa Majeshi alikuwa huru kabisa kuzungumzia tishio la kiulinzi na kiusalama kwa kuwa na wakimbizi wenye ushawishi ndani ya mfumo. Mada kuu hapo ilikuwa ni uwezekano wa kuvuja kwa taarifa nyeti za kijasusi zenye athari hasi za kwenda kwa mahasimu wa maendeleo ya nchi yeru hasa yale ya kiuchumi na kijamii

Rais Samia kuja na majibu mepesi pale alipopewa nafasi ya kuongea katika mkutano huo kama mgeni rasmi, ndicho hasa kinachochokoza na kuibua hisia tofauti. Hapa nchini vyama vikuu vya upinzani kwa upande wa Bara na Visiwani vinaeleweka. Kauli hii kwa jeshi letu ni kwamba mwaka 2025 wakati wa uchaguzi, "impliedly" ni kuwa vyama hivyo viangaliwe kwa tahadhari kubwa ya kiulinzi na kiusalama. Hili ni agizo jipya kutoka kwa Aniri Jeshi Mkuu kwenda kwa CDF kuwa jeshi linawajibika liwe tayari kwa lolote lile, ili kuhakikisha kwamba CCM inawashinda wapinzani wake wakati wa uchaguzi wa mwaka 2025..

Kwa hiyo basi Rais hakutoa majibu yenye tija juu ya uwepo wa tahadhari ile ya kijasusi aliyopewa katika hadhira ile, isipokuwa yeye badala yake akatumia mamlaka yake ya kikatiba kama kiongozi wa dola kujitayarishia mazingira rafiki kupitia kucheza rafu ili kuweza kukirudisha tena chama chake madarakani mwaka 2025 kwa msaada wa JWTZ.

Hiki ndicho kile ambacho hata mtangulizi wake alikitenda. Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na kutumia vibaya vyombo vya dola ili kukandamiza demokrasia. Hii inadhihirisha kwa jicho la Rais akiwa kama M/Taifa wa CCM, tishio kubwa la kiusalama analoliona ni uwezekano wa chama chake kupoteza dola, na wala haangaishwi na tahadhari ile mahususi ya kijasusi aliyopenyezewa kwake kama fanani katika hadhira ile.

Kweli kabisa mkuu
 
Tunaweza kabisa kutumia lugha nzuri ya kistaarabu na ujumbe ukafika vizuri zaidi!, kumwambia aache longolongo it's as if yeye ni mtu wa longolongo which is not right, is not fair. Ukiondoa issues za wahafidhina wa CCM wanaompotosha kwenye issues za katiba, huyu Mama yuko very straight, amenyooka, hapindipindi.

P

Ok, noted mkuu.
 
Huwezi kusema nchi ipo salama , halafu wakati huo unadai CDF kapuyanga. Kama CDF kapuyanga Ulinzi wa nchi utakuwaje?. Ndio maana Mimi naamini CDF alikuwa sahihi.

Kama unaamini CDF hawezi kupuyanga basi boss wake, CIC, aliyemteua huyo CDF hawezi hata kujaribu kupuyanga. It's just logical. Kama unadhani CIC anaweza kupuyanga basi CDF anaweza kupuyanga as well.
 
Tunaweza kabisa kutumia lugha nzuri ya kistaarabu na ujumbe ukafika vizuri zaidi!, kumwambia aache longolongo it's as if yeye ni mtu wa longolongo which is not right, is not fair. Ukiondoa issues za wahafidhina wa CCM wanaompotosha kwenye issues za katiba, huyu Mama yuko very straight, amenyooka, hapindipindi.

P

Ok, noted mkuu.
 
CDF alikurupuka. Hakuna mkimbizi aliyeteuliwa serikalini.

Mkimbizi akiwa naturalized ana haki ya kushika nafasi yeyote ile isipokuwa nafasi ya Rais na VP ambao ni lazima wawe watanzania by birth. Nafasi zingine zote sio lazima.

Mtu akiwa naturalized hakuna sababu ya kuendelea kubring up ukimbizi wake. Tatizo wabongo wengi wanaamini mtu akiwa mkimbizi anakuwa mkimbizi milele. Huu ni ujinga wa watanzania walio wengi.

Serikali haiwezi kuteua mkimbizi hata kama serikali ya bongo ni mbaya vp. Maza alimlindia heshima tu ila CDF alipuyanga.
Utakuwa mnyarwanda wewe sio bure , yaani CDF anajua tatizo wewe unasema hamna

Nyie wakimbizi bana
 
Sikubaliani na wewe kwenye Hilo la kusema kaongea yeye Kama yeye. Hapana, CDF ni nembo ya jeshi, hawezi kuamka kitandani akatoa madai makubwa Kama Yale.

Rais ni mkuu wa serikali na nchi including hilo jeshi lenyewe.
 
Utakuwa mnyarwanda wewe sio bure , yaani CDF anajua tatizo wewe unasema hamna

Nyie wakimbizi bana

Sio mimi tu hata boss wa CDF, CIC anayeweza kumtengua CDF muda wowote kama Makonda anajua hamna mkimbizi serikalini.

Mkimbizi nimepoa hapa nacheka tu 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom