Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya intelligence Kali nchi hii ni Jeshi kupitia MI , hivyo Rais kuambiwa vile wanajua Kila kituSio mimi tu hata boss wa CDF, CIC anayeweza kumtengua CDF muda wowote kama Makonda anajua hamna mkimbizi serikalini.
Mkimbizi nimepoa hapa nacheka tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Moja ya intelligence Kali nchi hii ni Jeshi kupitia MI , hivyo Rais kuambiwa vile wanajua Kila kitu
Yaani CDF apuyange Tena hadharani , najua kwanini mna haha kwa CDF na kwa Taarifa yenu kazi imeshaanza na pia kule Goma Jwtz wameenda kuwafyeka ndugu zenu wa M23
Utakuwa mhutu wewe.Ndo maana amepuuzwa kwa kukurupuka.
Mkunda hakupaswa kusema taarifa ile iliyoonekana sensitive akiwa hadharani vile. Alipaswa kumfuata Rais ikulu na kisha ikulu ingeifanyia kazi kwa uchunguzi zaidi. Kwa mtazamo wangu taarifa ile kuwekwa hadharani ni kuidhalilisha nchi haswa kitengo cha GSO. Na kama taarifa hiyo ni kweli basi GSO na TISS wajitafakari.Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .
Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia, kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Na kweli hafahamu!Unaandika vitu usivyo vifahamu
Kama unaamini CDF hawezi kupuyanga basi boss wake, CIC, aliyemteua huyo CDF hawezi hata kujaribu kupuyanga. It's just logical. Kama unadhani CIC anaweza kupuyanga basi CDF anaweza kupuyanga as well.
CDF ni mkubwa kuliko CIC?
Moja ya intelligence Kali nchi hii ni Jeshi kupitia MI , hivyo Rais kuambiwa vile wanajua Kila kitu
Yaani CDF apuyange Tena hadharani , najua kwanini mna haha kwa CDF na kwa Taarifa yenu kazi imeshaanza na pia kule Goma Jwtz wameenda kuwafyeka ndugu zenu wa M23
Inteligence ya jeshi inajua kutafuta magwanda yao tu that's about it. Hamna kingine cha maana wamefanya.
Madini yanatoroshwa kama kawaida hadi kule Mererani na kila kitu kinaendelea as per usual.
Let me know mkipata mkimbizi aliyeajiriwa serikalini mmoja tu. Mkikosa mjue CDF wenu kapuuzwa in broad daylight.
Walisemaje!?kama ni uchawa hata jpm alikua na chawa wengi lakini ndio hivyo!!sifa sio uhakika wa kushika dola!Jana hukusikia upuuzi wa wanaccm pale Mwanza wakati wavuvi wanapewa rushwa ya maboti?
Mkunda hakupaswa kusema taarifa ile iliyoonekana sensitive akiwa hadharani vile. Alipaswa kumfuata Rais ikulu na kisha ikulu ingeifanyia kazi kwa uchunguzi zaidi. Kwa mtazamo wangu taarifa ile kuwekwa hadharani ni kuidhalilisha nchi haswa kitengo cha GSO. Na kama taarifa hiyo ni kweli basi GSO na TISS wajitafakari.
Husein Bashe. Huyu akiwahi Hadi kusimamishwa kugombea Ubunge CCM.
Naomba nikuulize swali hivi Rais anaweza kuwa informed juu ya mambo ya polisi kuliko IGP? au Rais anaweza kuwa informed juu ya mambo ya mahakama kuliko Jaji mkuu? Yani Jenerali Mkunda aliyekaa jeshini muda mrefu uje useme hajui kitu kuhusu jeshi na Ulinzi compared kwa Rais Samia aliyekaa madarakani miaka mitatu?
Nadhani issue ya kupuyanga haina msingi. Suala la kujiuliza ni kwanini CDF aseme vile alivyosema?. Ameona Nini au ana taarifa gani?
Ni kweli, ila kwenye issue ya Ulinzi CDF yupo informed Sana. Maana yupo jeshini daily.
Siyo leo,tangia 2020 Musoma walisimamia uchafuzi mkuu na kufanya dolia kitaani huku wakiwa wamevalia vitaa vya bendela ya wale jamaa wa somalia kwenye maeneo ya nyuso zao.Kwa hivyo JWTZ imeingizwa rasmi kwenye siasa.