Rais Samia aagiza mapitio ya tozo ili kupunguza gharama za bando

Rais Samia aagiza mapitio ya tozo ili kupunguza gharama za bando

Janja ya nyani hiyo, wameona Lissu mikoani akigusia ishu ya bando wananchi wanamuelewa vizuri sana wameanza kuogopa.

Halafu wanajua uchaguzi wa serikali za mitaa upo kibarazani hapo mwaka 2024, ndo wanajifanya kupozapoza.
Jamaa wajanja sana lakini hatudanganyiki,
Huyu Rais usimwamini. kama ameacha hili na waziri kupata jali na mwanafunzi wa UDOM lipite tu, basi usimwamini, acha wizi wa CAG
 
unapoweka bei ya MB moja eti ni kati ya Tsh 1 na Tsh 9 huo ni uhaini! yaan tigo wakiuza GB kwa 1,000 au 9,000 ni sawa tu! hapa ina maana Nape alikuwa anafanya makusudi au ni mpumbafu wa akili!


yaan ni sawa na kusema petrol iuzwe kati ya BUKU na BUKU TISA!

mweee aibu naiona mie
.
20230521_184151.jpg
 
Back
Top Bottom