PreGE2025 Rais Samia aahidi kumsaidia mwalimu Yusuph ambaye hana mguu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameiona Video ya Mwalimu Yusuph ambaye hana mguu mmoja lakini amekuwa akifanya kazi kubwa na yenye ubunifu katika kufundisha Watoto na kuwafanya mapende masomo, ambapo Mhe. Rais ameahidi kumsaidia Mwalimu huyo.

Rais Samia Suluhu amejibu kupitia ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji Khaan Mbarouk ambaye alichapisha makala fupi ikimuonesha Mwalimu huyo anavyofanya kazi kwa ugumu lakini akiwa na upendo na ubunifu mkubwa kwa Wanafunzi.

Your browser is not able to display this video.

 
Rais Samia Suluhu amejibu kupitia ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji Khaan Mbarouk ambaye alichapisha makala fupi ikimuonesha Mwalimu huyo anavyofanya kazi kwa ugumu lakini akiwa na upendo na ubunifu mkubwa kwa Wanafunzi.
Si wamesema Insta na X zimefungiwa?
 
nampongeza sana mweshimiwa raisi kwa kuguswa na kila mnyonge katika hili taifa huyu mama kaamua kuwapigania watanzania wa kila hali
 
Bado hajapokea ujumbe wa Gwajima ?😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…