ThubutuuuSadaka hiyo imekataliwa.
Ni kama tu Ile aiiyohongwa Judas, vipande 30.Thubutuuu
Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa la Parokia hiyo na maandalizi ya Jubilee ya miaka 125 ya uinjilishaji pamoja na ujenzi wa nyumba za Watawa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3288314
Asingealikwa hapoNi kama tu Ile aiiyohongwa Judas, vipande 30.
Ilikataliwa sadaka Ile,
Kwani Soka Yu wapi? Badala ya kutwambia aliko, unatuma sadaka.
Sanaaaaa...Ni upendo mkubwa sana kwa waamini wa DINI....
Abdul ana moyo mkarimu kama wa mama yake !!
Amealikwa au ameomba aalikwe?Asingealikwa hapo
Kwahiyo makanisa yasijengwe?Nchi ambayo haina dawa hospitalini wala gloves, alaf mtoto wa Rais anatoa 30M kama mchango? Katoa wapi hizo hela tukosema kuna ufisadi tunakosea?
Angeomba aalikwe wasingechangishaAmealikwa au ameomba aalikwe?
Basi mwalike nawe kama atakuja.Angeomba aalikwe wasingechangisha
Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa la Parokia hiyo na maandalizi ya Jubilee ya miaka 125 ya uinjilishaji pamoja na ujenzi wa nyumba za Watawa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3288314
Source: clouds fm