PreGE2025 Rais Samia aahidi Milioni 30, ukarabati wa Kanisa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kanisa langu linaanza kupoteza mwelekeo, linaanza kuwa materialistic church
 
Ngoja na mimi nianze ujenzi wa kanisa, Mwambieni Abdul nataka mchango wa mil 200, chapu nikamilishe kanisa.
 
Ukhanithi huu sasa. Kanisa linapokea hela ya Abdul?
 
Sifa ziliendee balaza la Maaskofu Kenya, lilimrudishea Rais Ruto mchango wake kwa hoja kuwa waliona mchango huo una hila za kisiasa.

Tumjengee Mungu na tutoe sadaka kutoka kwenye mapato yetu halali na safi.

Makasisi hawawezi kujua sadaka hizo tumezipataje, lakini kunapokuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa ni mapato ya dhuluma, wazikatae.

Inakuwaje mtu alikuwa kapuku kabisa, baada ya kuupata tu Urais, yeye na familia yake yote, ghafla wanakuwa mabilionea? Haihitaji elimu ya ajabu, akili ya kawaida inakupa jibu sahihi.
 
Wewe huoni huyo ni Askofu?! Hata Pete ya uaskofu huioni? Vazi lenyewe la kiaskofu/kichungaji.
Bc hao clouds wameshindwa kuwasilisha taarifa vzr, leo h mtu ambaye hafatilii siasa za Bongo akiona hy post atajua huyo ndiye mtoto wa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…