PreGE2025 Rais Samia aahidi Milioni 30, ukarabati wa Kanisa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hiyo ni RUSHWA KAMILI. TAKUKURU hata kama hamuwezi kumkamata badi KEMEENI ILI NA WENGINE WANAOTAKA KUFANYA HIVYO WAACHE.
 
Imagine mtumishi wa umma akikopa hiyo milioni 30 benki ili ajengee kibanda chake cha kujisitiri yeye na familia yake, atalazimika kulipa mkopo pamoja na riba jumla kama milioni 60 hivi ndani ya miaka 8-9!
Halafu mtoto wa Rais ambaye hata kazi yake rasmi haijulikani na wengi, anaitoa hiyo milioni 30 kama zawadi tu kwa kanisa!!


Swali la kujiuliza; mtu wa aina hii ana milioni 30 ngapi kwenye akaunti yake ya benki? Na bado kuna watumishi wa umma bado mnapata kabisa ujasiri wa kuwapa kira watu wa aina hii kweli!! Mimi hapana aisee. Bora tujaribu wengine nao tuone kama watakuwa mafisadi kama hawa wa sasa.
 
Duu
 
Wanaanza kujipanyeza kanda ya ziwa, wanajua mziki.wake kule.
 
Nchi ambayo haina dawa hospitalini wala gloves, alaf mtoto wa Rais anatoa 30M kama mchango? Katoa wapi hizo hela tukisema kuna ufisadi tunakosea?
Umesema kweli sana! Huwa anafanya KAZI gani kwanza?
 
Sasa mtu kama Rostam Aziz si alishatajwa kitambo na tajiri mwenzake Reginald Mengi enzi hizo kama mmoja wa mafisadi papa! Unataka ushahidi gani tena!
Kumbeee?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…