Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Jazia nyamanyama apo mkuuWazi mkuu yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jazia nyamanyama apo mkuuWazi mkuu yuko wapi?
Kwani mpango mwenyewwe anasemaje1. Na wewe unakosea, hakuna nchi inaitwa Tanzania...
Tuna nchi inatwa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ama kwa kiingereza THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA..
2. Kwa muktadha huu, Makamu wa Rais wa JMT is truly bigger than The president of Zanzibar. Kwa hiyo kiprotokali hilo linapaswa kuzingatiwa...
3. Nakubaliana na wewe kuwa Rais hukosea kiprotokali anapompa nafasi ya kwanza Rais wa Zanzibar kabla ya VP wa JMT...
Kama hukumwelewa mtoa mada basi wewe una tatizoMtoa mada sijakuelewa, mwanzo umesema Rais Samia aambiwe....., yaani ni Kama vile hajui, arafu kwenye maelezo yako umehukum moja kwa moja kwamba tuwe makini huyu mama ana uzanzibar.
Binafsi mm nakuona una chuki zako binafs kwsbb unaonesha hisia zako direct.
Nakushauri uende ikulu umwambie mwenyewe. Hujui neno Raisi linalinganishwa Raisi, na makam inaenda na makum,
Hiki ni kipindi Cha kuangalia mambo makubwa ya nchi yetu kuliko kufuatilia vitu vidogo vidogo.
Bora ata ungesema Raisi Samia aambiwe au akumbushwe mei mosi inakaribia aongeze mishara.....
Asante sana kwa jitihada yako ya kueleza. Haya matatizo yanazungumzwa, sasa hivi miaka 57. Na kwa bahati mbaya wenzetu wa bara huwa munajifanya hamufahamu. Lakini ikiwa tutakubali kuwa tuna nchi mbili huru zilizokubali kushirikiana na kuungana basi kuna mambo mengi ambayo yalihitaji tukae chini tuyaongelee. Mfano, muungano hauna ridhaa ya wananchi wala bunge la zanzibar. Wakati wa kubadilisha jina la tanganyika kuitwa Tanzania, hilo lilifanyika upande mmoja na ndio maana sisi wazanzibari hadi leo ni wazanzibari kwanza. Munajifanya hamuoni. Masuala ya fiscal policy ya zanzibar yakachukuliwa bara, sisi tukakosa benki kuu yetu na uchumi endelevu sababu ya BOT ambayo tulichangiya kuanzisha halafu mukatupiga chini. Ikabidi zanzibar wafunguwe PBZ ambayo haina maana yoyote. Turudi kimataifa. Zanzibar bado ina kiti UN na tatizo ni kuwa serikali ndio hiyo hiyo haiwezi kuitetea zanzibar kimataifa. . Hamna muungano @UN. Muungano upo hapa kwenye vikao vya CCM. Mama Samiha ni kada mwenzenu na anajuwa anafanya nini kwa maslahi ya muungano. Iwapo mutakereka na mipango yake itabidi mutende HAKI na haki haipo bila ya UADILIFU. Mukirukia haki bila UADILIFU ndio matatizo yanapo jitokeza. Wewe mwenzetu umeruka unakimbilia HAKI lakini hukuona kama UADILIFU haupo?. Kwanini umefanya hivo. Umesema mama Samiha ni mpemba na hiyo sio kweli. Mama ni mtu wa UNGUJA na ni mwenzenu kabisa wala musiwe na shaka ni katika kuboresha muungano. Na wanao faidika zanzibar ni hao hao makada wenzenu. Sisi hatuna chetu maana tunaitwa wapinzani. Hatuna kadi ya CCM , hatupewi kazi serikalini wala kwenye vikosi. Tunategemea misaada. HONGERENI CCM MUUNGANO OYEEEE.Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Alfu mkataba nyerere aliuletaa bungeni mwaka 1964 kipind kile na kuomba wabunge wapitie na kuomba kuridhia mktaba ule ..hvyo aliwasilisha mktaba bungeni kwa kuwa April 22 ndio walitia sain na kufikia april 26 ukaanza kutumikiaa kwa kuwaomba wajumbe wa bunge la tanganyika kuridhi mkataba huo leo nimemsikiliza hotuba yake ...Kaz ipo saan kwa kuwa Hakuna anayejuwa mkataba huo unasemajeNyerere was a fraud alotia nchi yetu umaskini na alipoona mambo yamemshinda akaachia madaraka na kumpisha mwinyi, wakati huo mwinyi alikuwa rais znz. Nyerere alitufelisha kwenye ujamaa wake mpaka taifa likawa linagawa chakula na mahitaji mengine kwa ration. Ila kuna wabongo wengi hawajui kuwa miaka ya 80 watu walipanga foleni kuchukua ration na unga, sukari no na ukikutwa na zaidi ya kiasi unachotakiwa kuwa nacho ni kesi na unashtakiwa. Tusome historia ya nchi na tunatakiwa tukaperuzi kwelikweli mana hizo taarifa hazipatikani kirahisi. Yani ata mkataba wa muungano unafichwa sababu muda wa muungano umeisha mda, insert huu muungano ni haramu kwa sasa na hauko kihalali na ndomana wazanzibari hawautaki mana sio halali na kuna mambo yameongezwa ambayo hayakuwepo kweneye mtakaba ulosainiwa na karume na nyerere,.
Kwahiyo naye aliokota dodo kwenye mwarobaini?Nadhani ata mwinyi aliupata urasi JMT kwakutumia kanuni hiyo mana hawasemi ukweli kw nyerere aliachiaje madaraka. Alijiuzulu au vp mpaka protocol iyo kutumika. So rais samia sio wa kwanza kuwa raisi jwa namna hiyo. Mwinyi alikw raisi znz ndipo sijui nini kilitokea akapewa urais JMT. TUSOME HISTORIA!!! Nawaaga kwa jina la is JMT.
Waha mmeanza tenaNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
hivi ww una akili kweli? we ulijua zenji ndogo kwa nini uungane nayo? si ungeungana na Kenya kama unataka nchi zinazofanana ukubwa,muungano uwe sawa,japo Mimi ni mwera toka likandiloNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Mkuu maneno meengiiii hem jikite kwenye hoja yako yaani title ya mada yako. Maana wazi kabisa unaonesha una issues na ZanzibarNimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.

Kama bado uko interested niambie nikupelke kwa Mzee Faki pale Jangombe atakupeleka kwa Sheha Kombo akuuzie.Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.

Hakufanya sawa
Ki protocal, Hussein hana title yoyote kwa sasa kwny Jamhuri zaid ya kuwa Mjumbe tu wa Baraza la Mawaziri
Title ya Rais wa Znz kuwa Makamu wa Rais ilishaondolewa tangu 1994 kwa Ushauri wa Nyerere
Watu wa Protocal na hasa Waandishi wa Hotuba waiondoe hii sintofahamu!
Ivi utaratibu wa kununua ardhi kenya ukoje? Kama zanzibar ni nchi huru na ina watu wake kisheria, kwanini ww mbongo iwe rahisi kwenu kupata ardhi wakati ww sio raia wa zanzibar? Wazanzibari ni raia wa jamhuri ya muungano ya Tanzania? Jibu hayo maswali utamaliza utata mana huwezi mlinganisha VP wa JMT ambayo kwa mujibu wa katiba mbovu ya JMP inayomfanya awe puppet wa rais na rais wa nchi huru. Ukweli wabongo ni waroho wa madaraka that's why kukaa Meza moja na nyinyi unakuwa ngumu kuongea na kuelewana. Ma PHD mengi lkn hamna maana ata na hamjui kuyatumia kuwaletea maendeleo. Ata maana ya nchi hamujui Ola mna question uhalali wa zanzibar kuitwa nchi. For the record zanzibar ni nchi huru na sio kama mafia kuwa ww sio mzanzibar uingie na kumilik ardhi bila kufata taratibu. Semeni mnataka beach plot mnaekewa ngumu basi hamna jengine, kuwa raia zenji rahisi tia mimba wife aya hawara alaf mlete zenji kujifungua!huo ndo ujanja wazenji walitumia kuingia UK na US na sio kulazimisha zenji sio nchi wakati lesotho ni nchi ndani ya nchi na eneo lake, population ni ndogo zaidi ya unguja, let alone zanzibar. Unaofanyika ni ukoloni na tanganyika kutaka kuitawala zanzibar wakati ata tanganyika mnashindwa kuiendeleza mnataka eneo jengine kwasababu lina oil and gas potential ambayoiligundulika tokea wengine hatujazaliwa. Walokuwa hawaelewi waelewe hiyo ni baadhi ya sababukubwa ya tanganyika kulazimisha muungano haramu uloosha mda wake kwa mujibu wa mkataba. Yani mnaleta propanganda za meko na nyerere kujifanya wao wanajua kila kitu, yani mtu anaponda mradi wa bandariqa babagamoyo, Ola hawapi undani watz na kuleta mkataba hadharani au walau ata bungeni alaf anafelisha mradi na nyinyi mko kidedea kumsapoti wakati ata kilichoandikwa hamkijui. Anakufa apa chawa ndugai anaanza kudemka kuhus bagamoyo na kusema hrais kashauriwa vibaya. Swali kashauriwa na nani wakati yeye ndo mshauri na msimamizi wa serekali mkuu? Huu no upumbavu na uroho wa madaraka. Question your own issues kwanza ,yank mnakaq bungeni kudiscuss na kutetea legacy ya mpuuzi mekoalienunua ndege sio kihalali bila kufata taratibu za nchi,bila kuweka bayana kiasi haswa kilichotumika kununulia hiyo midege, akafanya ulaghai wa kupokea gawio for 5 consecutive years wakati shirika linakula hasara alaf mnakuwa kimyaa mnafurahia ujinga. Baasa ya kuongelea hizo ishu mnamquestion mama samia, who by the way mbobezi wa diplomacia na amesoma historia ya nchi yetu na anajua haswa manununguniko ya muungano how to navigate tena anaweka vitu bayana kwakiasi na kuficha na kujitwisha aibu za meko, mnaquestion intentions zake kweli kisa amemtanguliza rais wa nchi over a puppet VP ambae kupatikana Kwame kutokana na uroho wa madaraka ambayo alivuliwa wadhfa rasi wa zanzibar akapewa VP huyu puppet ambaye ata hajui kazi yake ni nini haswa kwenye serekali, yani kweli? Em ongeleeni kuhusu magu mana legacy lake ni changu na hakufa kama ilivotangazwa alaf mkalieni kooni mama samia asifiche report ya CAG ya BOT kwa mda wa miezi 3 na kipindi cha mtafaruku wa magu yukowapi tuone kama kuna panya hawatajiuzulu fasta ila bado mnaquestion vitu havina mana? Mwambieni ripoti isomwe mana tumechoka kiibiwa na sio kulinganisha rais wa nchi anaelindwa na mjeda nyuma na kakarogosi ambae hana kazi wala mamlaka kisheria na kikatiba? Au ndo katiba nayo hamjui inaongeleaje juu ya kazi za makam wa rais wa tz?Sasa huko Zanzibar utanunua ardhi gani kama unaweza "zunguka nchi nzima kwa baiskeli" "ukipiga filimbi Zanzibar nzima wanasikia" kwa mujibu wa Ally Kessy mbunge wa Nkasi.
Ndio,tena sio kwakutaka. Kuna kitu kilitokea kioelekea yeye kushika kijiti cha urais JMT baada ya nyerer maji kufika shingoni akaona aache mapema ila na sisi yangetukuta ya zimbabwe mbona. Au km Mu7 uganda?Kwahiyo naye aliokota dodo kwenye mwarobaini?
In fact hata Waziri mkuu yuko juu ya rais wa Zanzibar kwenye protocol za serikali ya Muungano isipokuwa wakati wa sherehe za Muungano na zile za mapinduzi tu; ila mama naona ameamua kuwa sasa ni Zamu ya Zanzibar kutamba. Kwa mfano kukiwa na dhifa ya Taifa na mgeni wa kutoka nje, hawezi kumtambulisha Rais wa Zanzibar kabla ya kumtambulisha Makamu wa rais na waziri mkuu.Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi.
Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais.
Kwenye hotuba zake nyingi
Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo. Huwezi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Ni dharau na fedhea kwa Muungano.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe tu Baraza la Mawaziri hana nguvu yeyote!
Leo unataka pesa za Sherehe za Muungano ziende kwa usawa Zanzibar na Tanganyika.
Hivi hizo pesa zimetoka Bara leo ziende Zanzibar.
Zanzibar yenye watu million 1 ipate sawa na Tanganyika yenye watu million 60.
Watanganyika tuwe makini na mwendo wa Mama.
Yupo kwa ajili ya Zanzibar zaidi kuliko Tanzania.
Sisi Tanganyika hatuna agenda ya pamoja tupo tu hatujui tunataka nini.
Leo mimi mbara siruhusiwi kwenda Zanzibar kununua kiwanja wala kufanya kazi kwenye serikali yao.
Wazanzibar kibao wapo serikalini kwenye ofisi hata zisizo za Muungano na free wao kununua ardhi.
Watanganyika mmelala ngojeni mambo ndio yanaanza.
Kiprotoko hutakiwi kutambua uwepo wa Rais wa Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Tanganyika hatuna agenda kila siku Zanzibar wanalalamika kuhusu mambo kadhaa kwenye Muungano Bara kimya.
Mimi nilitaka kununua kiwanja Zanzibar nikaambiwa nioneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi.
Mama ana asili ya wapemba alizaliwa huko baba ake alihamia Unguja.
Watanganyika tupo na akili chache sana.. Agenda zetu wabunge wa covid 19..utopolo tu
Tunadhani Mwinyi ni mwenzetu.. Mwinyi siyo mwenzetu.
Mama umekua Rais kwa muujibu wa katiba bila katiba usingepata Urais wa dezo Tafadhali heshimu katiba.
Rais wa Zanzibar kiprotoko ni mdogo kuliko hata Waziri Mkuu.
Siku ya mashindano ya kusoma Quran eti Rais wa Zanzibar anaondoka uwanjani kabla ya Waziri Mkuu. Ndani ya eneo la Tanganyika Rais wa Zanzibar hana nguvu ni km mm tu.
Mama acha uzanzibar tunajua nyie wapemba wabaguzi sana.
Kipindi flani walikuzushia unataka Rais unataka kugombea Urais Zanzibar ulikataa ukasema Urais Zanzibar ni mdogo kuliko cheo chako cha Makamu Rais naona leo umesahau..! Maliza miaka 4 iloyobaki tuachie Nchi yetu.
Its Zanzibar time BARA IMELALA FOFO... LINI MBUNGE WA BARA ALIWAHI KUHOJI WHY WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA ARDHI ZANZIBAR.
Mheshimiwa Rais yupo sahihi, inaonekana mleta mada ni ngumbaru wa mambo 5 protocol au ana wivu au chuki binafsi kwa madam President. Mbona wakati wa Mzee baba mlikuwa hamkohoi? hii nguvu ya ukosoaji kutoka kila kona mmeipata wapi?... nilishangaa sana kilichowapeleka rais na makamu wa rais Znz Bungeni Dodoma wakati wa hotuba ya Madam President!
Uyu mwengine bado yupo na protocol yeye ata kama ina makosa? Haya kwahiyo kama kitu sio sawa twende nacho hivohivo mpaka umaiti utukute? Nyie vp ndugu zetu mbona waroho ivo mnatustaajabisha yani!!! Vunjeni huu muungano sisi wazanzibari hatuutaki ili muweke rasi msukukuma, makam mpare, waziri mkuu mhaya mawaziri wote mueke mandereko, wanyaturu, wala panya kule, wamasai, wamangati na wenginewo alaf muone kama zanzibar tutashindwa endelea au tutakufa na njaa kisa muungano umeivunjika. Let's us set the records clear muungano muda wake ulishaisha mda sana na ulitakiwa kuwa renewed na wazenji waligoma kufanya hivyo na ndo mana mkataba wa muungano hauwekwi bayana mana kaa sasa muungano huu sio halali. Na sisi wazenji we are ready kukaa chini na kuvunja kabisaaaaaaaaa huu muungano ili mkija kwetu mje na passport na sisi vile vile tuje na passport. Mana kikubwa tunachofaidika nacho kutoka kwenye huu muungano ni uwepo na wamachinga tu mijini kwetu na kutupigia kelele kwa kurandisha mavyombo na bidhaa mitaani basi na tumewachoka kila siku kushuka boti mnaacha kulima kwenu na mieka yenu mingimingi mnakuja znz kupiga debe na kutuchafuliwa miji yetu. Si mkae kwenu mlime sie tukae kwetu tule urojo tu huku na kuchanana marinda kwa bustarehe mana ndo mnavyo tutusi hivo mkikosa cha kuongea. Miili yetu sasa ndo starehe zetu izo mtuache kwa amani na marinda yetu , urojowetu, mafuta na gesi yetu, utalii wetu ,karafuu zetu, spices zetu na kanda ya bahari yetumnayo ing'ang'ania.In fact hata Waziri mkuu yuko juu ya rais wa Zanzibar kwenye protocol za serikali ya Muungano isipokuwa wakati wa sherehe za Muungano na zile za mapinduzi tu; ila mama naona ameamua kuwa sasa ni Zamu ya Zanzibar kutamba. Kwa mfano kukiwa na dhifa ya Taifa na mgeni wa kutoka nje, hawezi kumtambulisha Rais wa Zanzibar kabla ya kumtambulisha Makamu wa rais na waziri mkuu.