Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Acha kuonesha kwa Jinsi gani Uko mjinga kichwani. Kipindi hiki na hizi tour hazigharamiwi na fedha za serikali( Walipa kodi) . Kinagharamiwa na michango kutoka sekta binafsiMwisho wa siku tutaambiwa royal tour documentary imegharimu bilioni 856 milioni 328 laki 675 elfu 221 na senti 56.
Hapo ndipo mtajua kuwa hata wavaa "ushungi" nao ni wapigaji vile vile.
Sema wewe ndo humtaki. Tatizo mmejaa ushamba wa chato na Burundi huko hamjui hata dunia inaendaje na inafanyaje kazi?Huyu mama tumepigwa,Ninachokiona anatafuta Cheap popularity ya kwake binafsi wala sio hicho anachokitangaza,huko ni kuuza sura tu
Acha aendelee kufanya hizo royal tour akija kushtuka muda umeisha na watu hawamtaki
Marais ndo walikuwa na hizo Royal tour? Acha upumbavu kujifanya unajua kumbe hamna kitu!Sema wewe ndo humtaki. Tatizo mmejaa ushamba wa chato na Burundi huko hamjui hata dunia inaendaje na inafanyaje kazi?
Kwa taarifa zako nchi nyingi makini zimetumia programu za namna hii katika kujitangaza huko duniani na zimepata faida kubwa sana.
Fuatilia Rwanda, Malyasia , South Africa na China walivyotumia programs za namna hii kujitangaza duniani na zinavyofaidika sasaivi
wanmfnya awe busy n mambo y hovyo hovyo ili nao wapate fursa y kupigaNaona wajanja huko juu wanamfanya Mama awe bize na mambo ya ovyoovyo...
Unauliza swali au jibu? Ndiyo ni Viongozi wa izo nchi waliongoza izo Tour Mf. Kagame kwa RwandaMarais ndo walikuwa na hizo Royal tour? Acha upumbavu kujifanya unajua kumbe hamna kitu!
Hebu tuwekee hapa!Unauliza swali au jibu? Ndiyo ni Viongozi wa izo nchi waliongoza izo Tour Mf. Kagame kwa Rwanda
Sio najifanya najua, najua Kweli. Wewe baki na ushamba wako
Akili zetu zimekaa kiwiziwizi tu! Unadhani hela zimewekwa tu na zinachukuliwa tu?wanmfnya awe busy n mambo y hovyo hovyo ili nao wapate fursa y kupiga
Ona ulivyo mshamba.Hebu tuwekee hapa!
Kama kuna watu matako we ni namba moja ....unadhani gharama ni pesa tu ....muda anaotumia huuoni kama ni gharama kubwa kiasi cha kutugharimu. Ukumbuke hata kama fedha kama zinatolewa na sekta binafsi unadhani sekta binafsi wanazitoa kwa nani? Kwa mfumo tulionao huo muda atakaokuwa anahangaika kukimbizana maporini unajua ni shughuli kiasi gani zitasimama? Nani atafidia? We kwa kiakili chako kimoja unadhani gharama ni pesa tu?Unaonesha ni jinsi gani huna akili na hufuatilii mambo ya nchi yako zaidi ya kulalamika tu!
Kipindi hiki kila kitu hakigharamiwi na Serikali. Mama Samia aliomba sekta binafsi wachangie na wakachangia.
Hakuna hata shs 1 imetoka serikalini kugharamia kipindi hiki kuanzia utengenezaji wake Hadi urushwaji
Aishawishi Drnmark ibaki kwanza vinginevyo hilo ni tangazo tosha kuzuia watalii kuja nchini
Awamu hii tutajionea mengi,Wakati hao wajanja wanamfanya hivyo yeye akili zake binafsi anakuwa amezikodishia wapi hata asijielewe?
Utasemaje muda ni gharama wakati program inafanywa kwa faida na manufaa ya Taifa?Kama kuna watu matako we ni namba moja ....unadhani gharama ni pesa tu ....muda anaotumia huuoni kama gharama kubwa kiasi cha kutughalimu. Ukumbuke hata kama fedha kama zinatolewa na sekta binafsi unadhani sekta binafsi wanazitoa kwa nani? Kwa mfumo tulionao huo muda atakaokuwa anahangaika kumbizana maporini unajua ni shughuli kiasi gani zitasimama? Nani atafidia? We kwa kiakili chako kimoja gharama ni pesa tu?
Ngoja nikusaidie. Maana unaonekana una ushamba mwingi sana wa ChatoHebu tuwekee hapa!
TZ vituko haviishi, sasa nini tena hikiMmmh! mmmh! ebaba!
Miradi ipi.?Yaani ni mwendo wa kuhonyao pesa za walipa kodi for nothing!!! Why asijikite kukamilisha miradi mikubwa ya maendeleo ambayo inadorora day in and day out!??? Hapa napo tumepigwa!!!
Rwanda Kuna democrasia?Kitakachoitangaza Tanzania pamoja na vivutio vyake vya utalii ni demokrasia,uhuru wa watu pamoja na utawala bora.
Nchi ambayo Serekali imeitangazia dunia kuwa ina gaidi hatari sana(yaani Freeman Mbowe)itawezaje kuvutia wawekezaji pamoja na watalii?
Tuweke taasisi na mifumo yetu sawa kwanza ndipo Dunia itatuamini.
Umeelewa Bwana mleta uzi?
Namshukuru Rais amejitolea kwa nchi yake kutangaza utalii na vivutio vya nchi kwa watalii. Lakini swali ninalojiuliza, hawa Mawaziri wa hizi Wizara na Mabalozi aliowateua wanakazi kani mpaka Rais mwenye majukumu makubwa ya kuongoza nchi anawasaidia kazi zo?View attachment 1915327
President Samia Suluhu Hassan has kicked off the recording of a documentary titled 'Royal Tour'.
The recording of the documentary that is meant to promote Tanzania internationally started on August 28, 2021 in Zanzibar where the President is on an official visit.
According to a statement released on Sunday, August 29, 2021 by Director of Presidential Communications, Jaffar Haniu the head of state will show visitors different attractions.
The documentary will be recorded under the Chairman of the President's committee to coordinate the plan to promote Tanzania internationally who is the permanent secretary in the ministry of Information, Culture, arts and Sports, DrHassan Abbas.
“The president will show visitors different tourism, investments, arts and cultural attractions available in the country,” reads part of the statement.
A royal tour is when members of the Royal Family go on an official visit – also known as a state visit – overseas, touring as many locations as they can make time for and visiting officials and the locals.
Royal tours are intended to strengthen relationships with the visited countries as well as inspire policy changes.
Ujuaji wako ni kama ule wa anayetaka kujipa kazi ya Waziri. Endeleeni kuupiga mwingiOna ulivyo mshamba.
Fuatilia hata YouTube program ya Visit Rwanda Kagame alivyoanza kui promote.
Ujuaji gani? Leta facts upewe factsUjuaji wako ni kama ule wa anayetaka kujipa kazi ya Waziri. Endeleeni kuupiga mwingi