Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

Mwisho wa siku tutaambiwa royal tour documentary imegharimu bilioni 856 milioni 328 laki 675 elfu 221 na senti 56.

Hapo ndipo mtajua kuwa hata wavaa "ushungi" nao ni wapigaji vile vile.
Acha kuonesha kwa Jinsi gani Uko mjinga kichwani. Kipindi hiki na hizi tour hazigharamiwi na fedha za serikali( Walipa kodi) . Kinagharamiwa na michango kutoka sekta binafsi
 
Huyu mama tumepigwa,Ninachokiona anatafuta Cheap popularity ya kwake binafsi wala sio hicho anachokitangaza,huko ni kuuza sura tu

Acha aendelee kufanya hizo royal tour akija kushtuka muda umeisha na watu hawamtaki
Sema wewe ndo humtaki. Tatizo mmejaa ushamba wa chato na Burundi huko hamjui hata dunia inaendaje na inafanyaje kazi?

Kwa taarifa zako nchi nyingi makini zimetumia programu za namna hii katika kujitangaza huko duniani na zimepata faida kubwa sana.

Fuatilia Rwanda, Malyasia , South Africa na China walivyotumia programs za namna hii kujitangaza duniani na zinavyofaidika sasaivi
 
Marais ndo walikuwa na hizo Royal tour? Acha upumbavu kujifanya unajua kumbe hamna kitu!
 
Marais ndo walikuwa na hizo Royal tour? Acha upumbavu kujifanya unajua kumbe hamna kitu!
Unauliza swali au jibu? Ndiyo ni Viongozi wa izo nchi waliongoza izo Tour Mf. Kagame kwa Rwanda

Sio najifanya najua, najua Kweli. Wewe baki na ushamba wako
 
Unaonesha ni jinsi gani huna akili na hufuatilii mambo ya nchi yako zaidi ya kulalamika tu!

Kipindi hiki kila kitu hakigharamiwi na Serikali. Mama Samia aliomba sekta binafsi wachangie na wakachangia.

Hakuna hata shs 1 imetoka serikalini kugharamia kipindi hiki kuanzia utengenezaji wake Hadi urushwaji
Kama kuna watu matako we ni namba moja ....unadhani gharama ni pesa tu ....muda anaotumia huuoni kama ni gharama kubwa kiasi cha kutugharimu. Ukumbuke hata kama fedha kama zinatolewa na sekta binafsi unadhani sekta binafsi wanazitoa kwa nani? Kwa mfumo tulionao huo muda atakaokuwa anahangaika kukimbizana maporini unajua ni shughuli kiasi gani zitasimama? Nani atafidia? We kwa kiakili chako kimoja unadhani gharama ni pesa tu?
 
Kama kuna watu matako we ni namba moja ....unadhani gharama ni pesa tu ....muda anaotumia huuoni kama gharama kubwa kiasi cha kutughalimu. Ukumbuke hata kama fedha kama zinatolewa na sekta binafsi unadhani sekta binafsi wanazitoa kwa nani? Kwa mfumo tulionao huo muda atakaokuwa anahangaika kumbizana maporini unajua ni shughuli kiasi gani zitasimama? Nani atafidia? We kwa kiakili chako kimoja gharama ni pesa tu?
Utasemaje muda ni gharama wakati program inafanywa kwa faida na manufaa ya Taifa?
 
Hebu tuwekee hapa!
Ngoja nikusaidie. Maana unaonekana una ushamba mwingi sana wa Chato

Kitakachoitangaza Tanzania pamoja na vivutio vyake vya utalii ni demokrasia,uhuru wa watu pamoja na utawala bora.

Nchi ambayo Serekali imeitangazia dunia kuwa ina gaidi hatari sana(yaani Freeman Mbowe)itawezaje kuvutia wawekezaji pamoja na watalii?

Tuweke taasisi na mifumo yetu sawa kwanza ndipo Dunia itatuamini.

Umeelewa Bwana mleta uzi?
 
Rwanda Kuna democrasia?
 
View attachment 1915327

President Samia Suluhu Hassan has kicked off the recording of a documentary titled 'Royal Tour'.

The recording of the documentary that is meant to promote Tanzania internationally started on August 28, 2021 in Zanzibar where the President is on an official visit.

According to a statement released on Sunday, August 29, 2021 by Director of Presidential Communications, Jaffar Haniu the head of state will show visitors different attractions.

The documentary will be recorded under the Chairman of the President's committee to coordinate the plan to promote Tanzania internationally who is the permanent secretary in the ministry of Information, Culture, arts and Sports, DrHassan Abbas.

“The president will show visitors different tourism, investments, arts and cultural attractions available in the country,” reads part of the statement.

A royal tour is when members of the Royal Family go on an official visit – also known as a state visit – overseas, touring as many locations as they can make time for and visiting officials and the locals.

Royal tours are intended to strengthen relationships with the visited countries as well as inspire policy changes.
Namshukuru Rais amejitolea kwa nchi yake kutangaza utalii na vivutio vya nchi kwa watalii. Lakini swali ninalojiuliza, hawa Mawaziri wa hizi Wizara na Mabalozi aliowateua wanakazi kani mpaka Rais mwenye majukumu makubwa ya kuongoza nchi anawasaidia kazi zo?
 
Back
Top Bottom