Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Mlisema bwana yule ni Dikteta, haya pambaneni na macaroni yenu haya😅 kutoka zenji![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinachotafutwa ni hicho hicho! Hela ya serikali haina mwenyewe 😂😂😂 cha muhimu iwe imeandikiwa tu!Mwisho wa siku tutaambiwa royal tour documentary imegharimu bilioni 856 milioni 328 laki 675 elfu 221 na senti 56.
Hapo ndipo mtajua kuwa hata wavaa "ushungi" nao ni wapigaji vile vile.
Anaifungulia Lilongwe au Kapirimposhi😅?Aliyekuwa anazindua hadi stand za mabasi kwenu ilikuwa sawa! Huyu anayeifungua nchi ifaidike na fursa za dunia kwenu nongwa.
Tafuteni tu juice ya ndimu. Samia anaupiga mwingi
Hii hali ya mambo kuyumba yumba unaionaje? Umeme unakatwa deile bila maelekezo barabara mbovu mjini!Watanzania hawana shukrani wanasema Huyu mama hajafanya kitu chochote cha maana tangu aingie ikulu. Hili analolifanya kwao si lolote si chochote!!. Aliyeturoga japo tuonyeshwe kaburi lake tuweze kuomba kwa nguvu zetu zote.
Hamna jema WatanzaniaAiseee hivi kweli Rais anafanya kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na Diamond au waziri wa utaliii? kweli Rais afanye kazi hii? hakika inasikitisha sana.
Hivi Rais kweli ana zunguka kurekodi vitu ambavyo vilitakiwa nkufanywa na wasanii wa bongo movie? Hivi kweli Rais hana kazi kabisa ya kufanya?
Akikaa ofisini atasoma mafailiAisee! Kwa nini hawataki akae ofisini!?🤔
AiseeNchi ameshaitangaza kwa kuiambia dunia kuwa mtz akiwa na laki 6 tu anaweza kuhatarisha usalama wa nchi kwa vitendo vya kigaidi.
Mbona unauliza maswali ya kitoto hivyo? Hebu muulize Kigwangala aliyekuwa waziri wa Utalii atakujibu swali lako.Kweli ushamba mzigo. Kwa hiyo pesa ya kurekodi na kurushwa kipindi inapigwaje??
unafikili kujenga uchumi ni kama nyumba mnabeba zege na tofali, acha ushamba basi mzeeItachukua miaka 60 nyingine kama si karne nzima kwa taifa letu kupata rais aliye serious na kazi na kujenga uchumi na nidhamu, Ewe mungu nakuomba utupatie kiongozi shupavu mwrnye hulka na tabia za magufuli ..
toa mfano wa hicho chochote ambacho hajafanyaIla hii ya mama kusema anatangaza utalii wa Tanzania ndio imenimaliza nguvu. Ana wiki ya 3 sasa hafanyi chochote anazunguka kupiga video, cut, action, stop.
Hivi mtu anaweza kuitangaza Serengeti kweli?
Anyway, ngoja tuone.
Kwa Taarifa yako chini ya Samia bei ya mazao Kama Korosho, Mbaazi na Choroko imepanda maradufu! Tanzania sasa inaongoza kwa kuuza bidhaa Kenya na Uganda kuliko wanavyouza kwetu.Itachukua miaka 60 nyingine kama si karne nzima kwa taifa letu kupata rais aliye serious na kazi na kujenga uchumi na nidhamu, Ewe mungu nakuomba utupatie kiongozi shupavu mwrnye hulka na tabia za magufuli ..
Nenda kamfufue.Mungu baba tunajua ni mapenzi yako ila kumchukua jpm ulituumiza sana. Ulimchukuwa wakati ndo ameanza kuiweka nchi kwenye stari.
Rip jpm wetu.