Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mlisema bwana yule ni Dikteta, haya pambaneni na macaroni yenu haya😅 kutoka zenji!
Raisi ni taasisi sio nafasi ya mchezo mchezo inataka mtu imara!
 
Asee hata mimi sijamuelewa kabisa kwenye hili..ni kwamba anatafuta hela kwa kiwango cha juu namna hii au anatafuta umaarufu? Anadhani itadumu kwa muda gan hiyo filam? Au mie ndiyo sielewi..mfano wa marais waliowahi kufanya hivi?
 
Mwisho wa siku tutaambiwa royal tour documentary imegharimu bilioni 856 milioni 328 laki 675 elfu 221 na senti 56.

Hapo ndipo mtajua kuwa hata wavaa "ushungi" nao ni wapigaji vile vile.
Kinachotafutwa ni hicho hicho! Hela ya serikali haina mwenyewe 😂😂😂 cha muhimu iwe imeandikiwa tu!

Watu wanataka wa relax maendeleo yaletwe na michango ya wananchi sio juhudi za serikali kupandisha uchumi😅 sijawahi kuona uchumi unaojengwa kwa michango!
 
Aliyekuwa anazindua hadi stand za mabasi kwenu ilikuwa sawa! Huyu anayeifungua nchi ifaidike na fursa za dunia kwenu nongwa.

Tafuteni tu juice ya ndimu. Samia anaupiga mwingi
Anaifungulia Lilongwe au Kapirimposhi😅?
 
Samia anajitahudi sana
Mimi naona tatizo upande mmoja tu kuwa ule mzimu wa Magufuli bado unamtesa especially upande wa Democrasia
Lakini kwingine mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Mama unajitahidi. Hongera.

Sent from my HUAWEI CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania hawana shukrani wanasema Huyu mama hajafanya kitu chochote cha maana tangu aingie ikulu. Hili analolifanya kwao si lolote si chochote!!. Aliyeturoga japo tuonyeshwe kaburi lake tuweze kuomba kwa nguvu zetu zote.
Hii hali ya mambo kuyumba yumba unaionaje? Umeme unakatwa deile bila maelekezo barabara mbovu mjini!
 
Aiseee hivi kweli Rais anafanya kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na Diamond au waziri wa utaliii? kweli Rais afanye kazi hii? hakika inasikitisha sana.
Hivi Rais kweli ana zunguka kurekodi vitu ambavyo vilitakiwa nkufanywa na wasanii wa bongo movie? Hivi kweli Rais hana kazi kabisa ya kufanya?
Hamna jema Watanzania

Sent from my HUAWEI CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Itachukua miaka 60 nyingine kama si karne nzima kwa taifa letu kupata rais aliye serious na kazi na kujenga uchumi na nidhamu, Ewe mungu nakuomba utupatie kiongozi shupavu mwrnye hulka na tabia za magufuli ..
 
unafikili kujenga uchumi ni kama nyumba mnabeba zege na tofali, acha ushamba basi mzee
 
Ila hii ya mama kusema anatangaza utalii wa Tanzania ndio imenimaliza nguvu. Ana wiki ya 3 sasa hafanyi chochote anazunguka kupiga video, cut, action, stop.

Hivi mtu anaweza kuitangaza Serengeti kweli?

Anyway, ngoja tuone.
 
Mwendazake aliharibu uchumi wa nchi na watu binafsi...wafugaji walipigwa faini na kuporwa mifugo yao kupigwa mnada. Wakulima mazao yalishuka bei,watumishi hawakupandishiwa mishahara mpaka anakufa na wafanyabiashara waliporwa na kutozwa Kodi za kubambikiwa
 
Ila hii ya mama kusema anatangaza utalii wa Tanzania ndio imenimaliza nguvu. Ana wiki ya 3 sasa hafanyi chochote anazunguka kupiga video, cut, action, stop.

Hivi mtu anaweza kuitangaza Serengeti kweli?

Anyway, ngoja tuone.
toa mfano wa hicho chochote ambacho hajafanya
 
Mungu baba tunajua ni mapenzi yako ila kumchukua jpm ulituumiza sana. Ulimchukuwa wakati ndo ameanza kuiweka nchi kwenye stari.

Rip jpm wetu.
 
Itachukua miaka 60 nyingine kama si karne nzima kwa taifa letu kupata rais aliye serious na kazi na kujenga uchumi na nidhamu, Ewe mungu nakuomba utupatie kiongozi shupavu mwrnye hulka na tabia za magufuli ..
Kwa Taarifa yako chini ya Samia bei ya mazao Kama Korosho, Mbaazi na Choroko imepanda maradufu! Tanzania sasa inaongoza kwa kuuza bidhaa Kenya na Uganda kuliko wanavyouza kwetu.

Kwa taarifa yako Pia Mama Samia ametuliza kilio cha wafanyakazi kwa kuwapandisha madaraja jambo ambalo huyo Magufuli wako hakuweza kufanya kwa miaka 6
 
Back
Top Bottom