Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

Hakuna! Chama kina mipaka yake na Rais anakazi zake! Hakuna mbilinge Bali chama kitakuwa kinauwezo wa kumshauri vyrma
Hizi povu mbona hamkuzimwaga nyakati za jiwe au kwa vile ulihakikishiwa uchawa
 
Hii hofu kubwa hivi kwa Rais kuwa mwenyekiti inasababishwa na nini?

Rais makini, wasaidizi bora na taifa imaraimara

Kazi iendelee

IMG_20210426_173530.jpg

IMG_20210426_173536.jpg

IMG_20210426_173539.jpg
 
Nini ushungi, ikifaa akatwe kichwa kabisa ili asivae vyote.
 
Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!

Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!

Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!

Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea Ubunge lazima kuwepo baraka za mwenyekiti!

Hilo pekee yake linachangia sana kudumaza Bunge lijae wapambe wanaosifu na kuabudu!

Naomba tujifunze kuona Hekima kwenye kundi la vichaa!

Kuliko kuwa na kofia mbili tumuombe mama kwa hekima kabisa akubali kubaki na Ushungi!

Moja ya ujinga wa wazee wengi hufanya nikuwaaminisha watoto vitu vizuri ni Mwiko!

View attachment 1766130

View attachment 1766131

View attachment 1766132
Kwani mwenyewe mama Samia anasemaje ?
 
Suala la kutenganisha kofia ni las muhimu kwaustawi wa ccm na nchi
 
Hili swala nakumbuka lilikua linajadiliwa kwa shauku humu ilikua unakuta mtu anaandika "Ngoja tingatinga awe mwenyekiti asafishe mpaka huko" leo Rais kawa mwingine ndiyo mada imehama.

Anyway, Rais wa nchi anaingia chamani kwake kisha huko kuna mwenyekiti as in Rais anatakiwa areport kwa huyu mwenyekiti? Inaingia akilini?

Kama concern ni kukosolewa. JK alikosolewa, SSH hajaogopa kukosolewa in fact ameencourage kukosolewa. Rais pekee ambaye kukosolewa kwake ilikua ngumu ni ambaye hata mada za kutenganisha urais na uenyekiti hazikuandikwa.

Mimi ninachoona, Uenyekiti wa Chama uwe ceremonial.
 
Mleta mada inabidi ufukuzwe kwenye chama ,unatoa siri za chama na kuwapa nguvu watu walee,ni bora mjadiliane hukohuko,CCM hamna forum mkamalizana huko.
 
Back
Top Bottom