Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

Hakuna! Chama kina mipaka yake na Rais anakazi zake! Hakuna mbilinge Bali chama kitakuwa kinauwezo wa kumshauri vyrma
Hizi povu mbona hamkuzimwaga nyakati za jiwe au kwa vile ulihakikishiwa uchawa
 
Nini ushungi, ikifaa akatwe kichwa kabisa ili asivae vyote.
 
Kwani mwenyewe mama Samia anasemaje ?
 
Suala la kutenganisha kofia ni las muhimu kwaustawi wa ccm na nchi
 
Hili swala nakumbuka lilikua linajadiliwa kwa shauku humu ilikua unakuta mtu anaandika "Ngoja tingatinga awe mwenyekiti asafishe mpaka huko" leo Rais kawa mwingine ndiyo mada imehama.

Anyway, Rais wa nchi anaingia chamani kwake kisha huko kuna mwenyekiti as in Rais anatakiwa areport kwa huyu mwenyekiti? Inaingia akilini?

Kama concern ni kukosolewa. JK alikosolewa, SSH hajaogopa kukosolewa in fact ameencourage kukosolewa. Rais pekee ambaye kukosolewa kwake ilikua ngumu ni ambaye hata mada za kutenganisha urais na uenyekiti hazikuandikwa.

Mimi ninachoona, Uenyekiti wa Chama uwe ceremonial.
 
Mleta mada inabidi ufukuzwe kwenye chama ,unatoa siri za chama na kuwapa nguvu watu walee,ni bora mjadiliane hukohuko,CCM hamna forum mkamalizana huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…