Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

Tangu zamani watoto walilala pamoja na wageni; lakini mlawiti mmoja ndiye aliyewafanya wazazi waone umhimu wakutenganisha watoto na wageni!

Unapouliza Kwanini sasa na Mimi nitakuuliza unataka hadi watoto wangapi walawitiwe?
Umeongea vitu ambavyo havifanani na ustaarabu wa mada husika. Labda umepotea njia, ulitaka kuchangia jukwaa jingine na kwa bahati mbaya ukaja jukwaa hili.
 
Dah mkuu umegusa penyewe... how did we find ourselves in this situation?? Ila ya Mungu mengi. Mapenzi yake yatimizwe
 
Tangu zamani watoto walilala pamoja na wageni; lakini mlawiti mmoja ndiye aliyewafanya wazazi waone umhimu wakutenganisha watoto na wageni!

Unapouliza Kwanini sasa na Mimi nitakuuliza unataka hadi watoto wangapi walawitiwe?
Huyu mlawiti wakati analawiti ulifanya nini?

Unajua hiko ndicho kinatumika kukuhesabia hapa? Incident inaendelea na ndani ya chama watu wakawa kimya, hakukua hata na anonymous aliyesemea kulawitiwa.

Kishe leo kila mtu anajitokeza. Ni kama vile hasira za kushindwa kusema kipindi chote zinamaliziwa kipindi hichi.
 
Hizi povu mbona hamkuzimwaga nyakati za jiwe au kwa vile ulihakikishiwa uchawa
Hawa wasukuma ni wanafiki sana,,ngojea mama achukue uenyekiti washugulikiwe ipasavyo na kiongozi wao bashiru ,dotto jems na kina makonda
 
Usichokielewa huoni umhimu wa kutenganisha kwanza ndo mengine yaendelee?
Au hadi alawiti wangapi ndipo utenganishe?
 
Hiyo sii dawa,dawa ni uhuru wa kufanya siasa ,na katiba mpya
Katiba inasema Rais halizimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote katika kutekeleza majukumu yake ...Hamuelwi ,siyo salama kutenganisha kofia ya Urais na unyekiti wa chama .....
 
Kuondoa kofia ya Uenyekiti kwa Samia ni kumpunguzia nguvu mwaka 2025 kwani akikosa uenyekiti atakosa nguvu pia ya kuunda Sekretariat ya chama na kupanga safu za viongozi kwenye uchaguzi ndani ya chama na hivyo kutokuwa na nguvu tena ya kuweza kuteuliwa kugombea tena 2025. Mwenyekiti na "WATU WAKE" watasema "tunakuona hujamudu nafasi yako vizuri hivyo tunamteua mwingine".

Yaonekana ndani ya chama kuna watu hawakupenda Samia awe rais na hivyo mpango wa kuondoa kofia ya uenyekiti itawasaidia kumweka rais wamtakaye 2025.
 
Usichokielewa huoni umhimu wa kutenganisha kwanza ndo mengine yaendelee?
Au hadi alawiti wangapi ndipo utenganishe?
Hakuna kutenganisha urais na uenyekiti mpaka mtueleze kwanini kwa John mliona ni sawa ila siyo kwa Madame President.
 
wazo zuri sana mukuu lakini lingekuwa na maana zaidi ungelileta miaka 6 iliyopita lingeleta maana zaidi lakini kwa sasa ni less use
 
Mliozoea maisha yakula bila kunawa huko ugambani mmeshaanza kuhusi kutupwa nje ya ulaji tafuteni kazi mfanye sio kuwa wapambe
sasa itakuwaje asee,sio mbaya japo tubakiwe na mtu mmoja kwenye kofia hiyo labda tutaendelea kuwepo ndani na atulindie maslahi utey<
 
Baada ya kutokuwa tayari kuongozwa nae kama RAISI ...
Sasa imehamia kwenye chama . mwendazake alikataa kuivaa kofia ya chama akalazimishwa. kwanini huyu ifanyike jitihada ya kumyima kofia ya chama
 
Kwanini sasa? Acha unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…