Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

Katika hao wote uliowataja, wanaongozwa na huyu mama kilaza Jenista Muhagama, yaan huyu sijui kwann anakua waziri, na Elimu yake ya diploma ya UPE.

huyu hafaii kuwa hata Naibu.
 
Hii listi ni batili kama hayupo jenista mhagama
 
Kwa bahati mbaya kabisa, Mwigulu na Makamba hawawezi kuguswa na mama.

Wakati mwingine ni mambo ya ajabu kweli kweli. Amir Jeshi Mkuu unawaogopa watu wengine tu ambao hawana hata Jeshi? Ni aibu kweli kweli.
 
Zero kabisa
 
Raisi wa nchi ni mateka. Raisi hana mamlaka, tunaongozwa na raisi kivuli.
 
Bado mpaka leo mna maneno yenu haya haya ya kihanithi haya?!!! Kueni basi
 
Unapoteza muda wako bure kushauri wapumbavu
 
Mimi jamaa wa Tozo sikumuelewa alipomshauri Mama kuhusu kuweka ruzuku kwenye mafuta wakati kwenye kikao Mama alidhamilia kufuta baadhi ya kodi kero kwenye mafuta Mzee wa Tozo alipewa ushauri na wafanyabiashara wa Mafuta wazo likapita Watanzania bado wanaendelea kuumia huyo jamaa ana laana zangu aisee sioni kitu cha maana akitoa juu ya Watanzania zaidi ya kuwaumiza tu kila kukicha...
 
Sahihi kabisa lile ni kusanyiko la matapeli tupu
 
Baraza zima la mawaziri ni laana tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…