Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mm huwa namuona kama ana mapungufu ya akili. Mzima kweli huyu waziri ama ana usonji?Dr Mollel 😂😂
Zero kabisaMheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Hawa mawaziri hawakufai mh. Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao.
Mawaziri hawa wameshapotoka hawakusaidii zaidi ya kujenga taswira mbaya kwa nchi. Mama usiangalie wala kujali jina la mtu jali watanzania.
Baba wa Taifa letu alituasa unaweza kumpenda mtu, unachoweza ni kula naye, kunywa naye siyo kumpatia uongozi wa nchi. Hustahili kuwa na hawa, JK apumzike asijifanye anajua, km vp agombee 2025.
Usiwaogope watu wazuri ndio watakusaidia. Mhe. Rais tumia watu wenye uwezo na waadilifu.
- Mwigulu, huu ni mla rushwa wa kutisha tuna ushahidi wa kutosha hasa vikao vyake vinakuwa Dar na Arusha, tutarusha ushahidi km ww rais wetu ni sawa na Yuda Iskariote
- January Makamba, mama huyu mtu ni mla rushwa wa kutisha na anakuhujumu anataka urais
- Selemani Jafo, huyu hajawahi hata kukutambua km we rais, hakuna anachofanya zaidi ya kukuhujumu.
- Angela Kairuki, km unampenda sana mbadilishe wizara, alipo hajui hata anafanya nini
- Inno Bashungwa, mbadilishe wizara huyu bwanamdogo, wizara ya ujenzi inahitaji mtu km Wiliam Lukuvi, sijajua shida ya huyo mhehe, ni kiburi?
- Ashatu Kijaji, kinachomweka pale ni dini yake au nini, huyo mtafutie kazi nyingine au arudi Mzumbe kufundisha.
- Nape Nnauye, huyu mpumzishe ameshajisahau amebaki kushindana na watu
- Damas Ndumbaro, huyu mtafutie kazi nyingine kwanza hana hata interest na mambo ya michezo
- Pindi Chana, tafuta mwingine rais wetu, huyu ana changamoto yake, mrudishe mbunge wa Kilosa prof. Kabudi.
Ingewezekana peleka marekebisho ya katiba bungeni, Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
Bado mpaka leo mna maneno yenu haya haya ya kihanithi haya?!!! Kueni basi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mama ameziba masikio hao unaowataja kuanzia January makamba nape na mwigulu anawaogopa sababu kubwa NI vijana wa mzee wa msoga anaamini hao akiwatengua watamuundia Zengwe wazee wao kwenye uraisi wake ndiyo maana yupo karibu nao na wala hata wasemwe Vipi Hana cha kuwafanya
Mchengerwa hata awe waziri mkuu mimi nabariki tuAliyepaswa kudeka lakini anachapa kazi usiku na mchana ni mchengerwa(mkwe wa taifa). Sema tuu achungulie watendaji wake ndani ya wilaya ya Ileje mkoani songwe.
Unapoteza muda wako bure kushauri wapumbavuMheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030.
Hawa mawaziri hawakufai mh. Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao.
Mawaziri hawa wameshapotoka hawakusaidii zaidi ya kujenga taswira mbaya kwa nchi. Mama usiangalie wala kujali jina la mtu jali watanzania.
Baba wa Taifa letu alituasa unaweza kumpenda mtu, unachoweza ni kula naye, kunywa naye siyo kumpatia uongozi wa nchi. Hustahili kuwa na hawa, JK apumzike asijifanye anajua, km vp agombee 2025.
Usiwaogope watu wazuri ndio watakusaidia. Mhe. Rais tumia watu wenye uwezo na waadilifu.
- Mwigulu, huu ni mla rushwa wa kutisha tuna ushahidi wa kutosha hasa vikao vyake vinakuwa Dar na Arusha, tutarusha ushahidi km ww rais wetu ni sawa na Yuda Iskariote
- January Makamba, mama huyu mtu ni mla rushwa wa kutisha na anakuhujumu anataka urais
- Selemani Jafo, huyu hajawahi hata kukutambua km we rais, hakuna anachofanya zaidi ya kukuhujumu.
- Angela Kairuki, km unampenda sana mbadilishe wizara, alipo hajui hata anafanya nini
- Inno Bashungwa, mbadilishe wizara huyu bwanamdogo, wizara ya ujenzi inahitaji mtu km Wiliam Lukuvi, sijajua shida ya huyo mhehe, ni kiburi?
- Ashatu Kijaji, kinachomweka pale ni dini yake au nini, huyo mtafutie kazi nyingine au arudi Mzumbe kufundisha.
- Nape Nnauye, huyu mpumzishe ameshajisahau amebaki kushindana na watu
- Damas Ndumbaro, huyu mtafutie kazi nyingine kwanza hana hata interest na mambo ya michezo
- Pindi Chana, tafuta mwingine rais wetu, huyu ana changamoto yake, mrudishe mbunge wa Kilosa prof. Kabudi.
Ingewezekana peleka marekebisho ya katiba bungeni, Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi awe waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano hakuna cha ajabu. Hussein ni muadilifu na ana akili sana tumtumie kutusaidia, Mwigulu ni janga
Sijui Ila ni waziri mwenye dhamana so afanye kama kufumua uongozi wa mkoa wa Songwe hasa hasa wilaya ya IlejeKwani Mchengerwa kwao ni wapi?
Dr mollel yeye anachojua ni kuitukana Chadema basiDr Mollel 😂😂
Sahihi kabisa lile ni kusanyiko la matapeli tupuBaraza zima la mawaziri hakuna anayefaa.
Kama alivyoandika johnthebaptist kwenye uzi wake wa kufanya mawaziri wasiwe wabunge, ukipata wabunge wa hovyo kama hawa waliopo wa mwendazake, wigo wa kupata mawaziri wazuri ndani yao unakuwa finyu sana.
Kwa sasa ndani ya bunge hili la futuhi, wanaoweza na kufaa kuwa mawaziri na kufanya vyema, hawazidi hata wabunge 10.
Baraza zima la mawaziri ni laana tupuMimi jamaa wa Tozo sikumuelewa alipomshauri Mama kuhusu kuweka ruzuku kwenye mafuta wakati kwenye kikao Mama alidhamilia kufuta baadhi ya kodi kero kwenye mafuta Mzee wa Tozo alipewa ushauri na wafanyabiashara wa Mafuta wazo likapita Watanzania bado wanaendelea kuumia huyo jamaa ana laana zangu aisee sioni kitu cha maana akitoa juu ya Watanzania zaidi ya kuwaumiza tu kila kukicha...