Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wanaosha zimetakata ?Mnaosha pesa.
Zitapakwa rangi zikigoma kuosheka.Wanaosha zimetakata ?
Hiyo ni michango ya wauza unga na wakwepa kodi. Huwa tunajua michango ya aina hiyo.Kwenye usiku wa Huba Huru Ghala Taasisi mbali mbali na Wafanyabiashara wameshiriki katika harambee maalum ya kumchangia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, kuongeza bguvu katika uchaguzi mkuu ili aweze kurejea tena madarakani kuliongoza Taifa la Tanzania kwa miaka mingine mitano.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mpaka asubuhi ya leo kwenye Khaan Mbarouk ameeleza kuwa jumla ya fedha zilizokusanywa ni zaidi ya Tsh Billion 1.5, ikiwa ni matokeo ya mapenzi ya Watanzania kwa Rais Samia.
Kwenye kitabu cha " Things Fall Apart" Kuna character mmoja anaitwa Unoka alikuwa bingwa wa burudani, hakutaka shida...ya mambo ya vita. Alitaka peace of minds ....hakutaka shida kujua mambo ya usalama Yeye ilikuwa ni zumali tu! Raha kwenda mbele stress hazikupata nafasi kwake!!!narcotic cartels wanajisafishia