The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ukiwa mpuuzi lazima udharaulike,double taxation ndio nini?Dharau, kiburi na maringo pamoja na double taxation na mfumko wa bei! Hana analowaza zaidi ya kudouble tax over tax!
Utaondoka wewe Mwigulu atabaki,Wizara ya fedha haihitaji pangua pangua.Mwigulu yupo?
Mama, mama mamaaaa sikia kilio chetu, muondoe mwigulu
Namtabiria uwazir mkuu mnk kwa kipindi chote Cha siasa alianzia juu tu na Hana history ya kupeteza wizara huyu bwana[emoji23]
Ni connection ya wakubwa inambeba. Utashangaa bashungwa ni Rais kimasiharasihara [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwigulu hatumbuliwi leo wala kesho, tozo zimependekezwa na baraza la mawaziri akiwemo rais ndio maana hatumbuliwi.Mganga wa Dk. Mwigulu Nchemba si wa mchezo mchezo kwani Kaupiga mwingi kwa Ndumba na Mama Kamsahau kabisa Kumtumbua.
Tax-hata jina linaendana,tumkatiale rufaa apelekwe tozoniHuyo Tax si angepelekwa kitengo cha tozo, tukubali yaishe....
Ya Mpango tena maana majina yanaenda na kazi etiTax-hata jina linaendana,tumkatiale rufaa apelekwe tozoni
kule hataleta mihemko yoyote!maana hana kazi kule, kila kitu wanafanya wakulungwa wenyewe!yy ni kupokea report tu na kuwawakilisha bungeni siku ya bajeti!basiihapa kwa Bashungwa mama kachemka! wizara haitaki mihemko
Inatia kinyaa sana, watu wale wale ccm ni chama cha hovyo kuwahi kutokea. Huyu Angela ana lipi la maana! Nchi ya watu milioni 60 wanazungusha sura zile zile!Nawaza kwamba ni kweli Kairuki ataiweza wizara ya TAMISEMI??
Nchi hii naona inauhaba sana wa watu wanazunguka walewale wanatenguana na kuteuana tena walewale ni kazunguko tu
Huyo kairuki toka nazaliwa ni Waziri, tanganyika mnafeli wap kukosa mbadala huyo mama ana jipya gani kuisaidia nchi baada ya miaka yote hiyo kufeli?
Charles Kimei, Daniel Sirro, Abdallah Mwinyi, Deo Mwanyika , Sospeter Muhongo, Kunambi. Neema Lugangira. Ng'wasu kamani na wengineo wengi sanaKama akina nani?
Charles Kimei, Daniel Sirro, Hussein Mwinyi, Deo Mwanyika , Sospeter Muhongo, Kunambi. Neema Lugangira. Ng'wasu kamani na wengineo wengi sana
Hao wote ni takataka na majizi tuu hamna kitu hapo.Charles Kimei, Daniel Sirro, Hussein Mwinyi, Deo Mwanyika , Sospeter Muhongo, Kunambi. Neema Lugangira. Ng'wasu kamani na wengineo wengi sana
Waliiba nini na wapi? Tupe ushahidiHao wote ni takataka na majizi tuu hamna kitu hapo.
🙏Ukishakuwa mbunge wa kuteuliwa mteuzi wako hawezi kukuondoa labda akteue kwa nafasi nyingine nje ya bunge kama alivyofanya kwa Polepole
Daaaa afadhali huyu mama mh.....alimdhalilsha sana palaagabaMula Mula amewekwa bench?
Binafsi nashangaa asee, yaani wakati anatangazwa ilikuwa ni shida now hatuwaoni humu!.Stergomena alikuwa anasifiwa sana imekuwaje? ...
Hawafai,,subiria ukiwa Rais utawateua wakusaidie.Waliiba nini na wapi? Tupe ushahidi
Mbona India na China wana nunua mafuta ghafi bei Rahisi?Kazuie basi mafuta yasipande