Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Dharau, kiburi na maringo pamoja na double taxation na mfumko wa bei! Hana analowaza zaidi ya kudouble tax over tax!
Ukiwa mpuuzi lazima udharaulike,double taxation ndio nini?

Mfumuko wa bei unaleta na mtu au uchumi wa Dunia? Kazuie basi mafuta yasipande..

Omba uteuliwe wewe Ili hayo yasitokee
 
Mganga wa Dk. Mwigulu Nchemba si wa mchezo mchezo kwani Kaupiga mwingi kwa Ndumba na Mama Kamsahau kabisa Kumtumbua.
Mwigulu hatumbuliwi leo wala kesho, tozo zimependekezwa na baraza la mawaziri akiwemo rais ndio maana hatumbuliwi.
Yeye hawezi kujiamulia tozo na rais amwangalie tu angetumbuliwa kitambo.
 
Sikufarahia kabisa baada ya kulikosa lile nililotaka liondolewe kumbe bado lipo! 😭
😭 😭
 
Nawaza kwamba ni kweli Kairuki ataiweza wizara ya TAMISEMI??
Nchi hii naona inauhaba sana wa watu wanazunguka walewale wanatenguana na kuteuana tena walewale ni kazunguko tu
Inatia kinyaa sana, watu wale wale ccm ni chama cha hovyo kuwahi kutokea. Huyu Angela ana lipi la maana! Nchi ya watu milioni 60 wanazungusha sura zile zile!
Hawashindwi kuwarudisha kina Mary Nagu na Steven Wassira.
 
Charles Kimei, Daniel Sirro, Hussein Mwinyi, Deo Mwanyika , Sospeter Muhongo, Kunambi. Neema Lugangira. Ng'wasu kamani na wengineo wengi sana
Charles Kimei, Daniel Sirro, Hussein Mwinyi, Deo Mwanyika , Sospeter Muhongo, Kunambi. Neema Lugangira. Ng'wasu kamani na wengineo wengi sana
Hao wote ni takataka na majizi tuu hamna kitu hapo.
 
Ni mchapakazi Sana. Ni MTU safi anajua kuongea and she is wonderful
 
Back
Top Bottom