Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Mimi naona bashungwa anaweza kuwa hata Rais, Makamu wa Rais hata Waziri mkuu. Jamaa connection kati ya mzee wake na jiwe imembeba, na yeye kabebeka 😂😂Namtabiria uwazir mkuu mnk kwa kipindi chote Cha siasa alianzia juu tu na Hana history ya kupeteza wizara huyu bwana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyo Dr TAX katokea huko huko Civil Services ni mtu wao; Wala hakuna shida kuwa waziri wa mambo nje ni njagu wa zamani.
Wizara ya ulinzi huyu mtu ata hatujui shughuli yake haswa, ila Bashungwa kasomeshwa na serikali nje ya nchi na kurudi kapewa kazi serikalini sasa kama hujui hawa watu huwa ni wa aina gani kazi kwako (tatizo labda wapewe wizara ngumu).
Hila huyu Kairuki TAMISEMI ni maza kutuletea utani tena watanzania.
Huyu Kairuki wa kumpa TAMISEMI hizi sasa dharau.
Wizara ya TAMISEMI inatakiwa iwe na Waziri mkali sana.
Kiufupi inatakiwa Waziri wa TAMISEMI awe na 'roho mbaya' sana na asiwe na huruma dhidi ya wizi au uzembe unaopelekea mali ya Umma kupotea.
Sina hakika kama aliyetoka na aliyeteuliwa wana sifa hizo.
Labda ndani ya CCM kuna uhaba wa watu wanaofaa kuwa Mawaziri ama tunateuana kwa kuangalia kama tunajuana.
Upo sahihi mkuu. Yaani Jiwe alikuwa rafiki sana na Baba yake bashungwa. Hivyo baba yake alilipenyeza jina lake kwa jiwe enzi hizo yaani kiufupi ni connection kati ya Baba inno na jiwe ndio ilimbeba Na huyo inno akatoka usa, kisha akazugazuga hapo wizarani kuna kazi fulani alikuwa nayo hapo na kampuni fulani hivi , huku mke wake alikuwa maarufu kama Mama alaska, halafu kupitia connection ya baba yake jamaa akawa mbunge wa karagwe, kisha waziri. Ndio mpaka leo hii.
Achana na Connection. Ni kitu kingine kabisa 😂😂😂
Kumbe connection ipo longtime kitambo. Aisee nimeheshimu connection. Ongeza nyama mkuu. Mbona jamaa anasurvive sana huko kwenye system? Au ndio raisi ajaye?Matango Pori Baba yake Inno amefariki long time kabla Inno hajaingia kwenye siasa na hajaoa wala JPM hajawa Raisi
Baba yake Inno alikua ni mmiliki wa Shule flani English Medium Zamani sana alikua na sponsors kutoka Marekani wa kumsaidia kuendesha Shule zake kupitia exchange program Ya walimu na JPM alikua Mwalimu connection zao zilianzia huko
Kumbe connection ipo longtime kitambo. Aisee nimeheshimu connection. Ongeza nyama mkuu. Mbona jamaa anasurvive sana huko kwenye system? Au ndio raisi ajaye?View attachment 2376548
Halafu hii screenshot nimeitoa kwenye group. Naona hata Magu mwenyewe aliwahi kusema anamfahamu Baba yake. Inawezekana connection ni ya muda mrefu sana kuliko watu wanavyojua.
Sasa nimeelewa.Mmiliki wa International Schools ( Mr Bash) tangu enzi za Mwinyi na Mwalimu wa Kawaida kama JPM lazima wawe na connection lazima JPM ajipendekeze
Sasa nimeelewa.
Ila nahisi pamoja na kubebwa. Ila jamaa kaamua kubebeka. Naogopa siku akiwa na cheo kizito ambacho hakitamfanya awe "robot"/chawa ndio tutamjua vizuri yeye ni nani 😂😂
Mfano inno awe rais wa Tz.
😂Inno ana busara na ni mpole mstaarabu ana Moyo wa kusaidia watu na huruma hawezi kubadilika ni mtu wa totoz ndio weakness yake
😂
Mke wake naona ni mwendo wa kuzaa na kunyonyesha tu. Ila nina mashaka sana. Naona marafiki wa mke wake ni totoz na mamiss 😂😂😂😂 nahisi kuna namna hapo. 😂😂😂 Hao mashosti isijekuwa ndi assistant waifu 😂😂
😂😂😂Ana zaa sana for security Ya Ndoa hasiache nafasi hata siku akipinduliwa na mashosti huruma ya watoto imludishe ndoani 😂😂😂😂
Wataka kumaanisha Yule bwana kohoa kohoa alitakiwa atambuliwe kwasababu ndiye boss aliyeenda kuwakilisha kijiji tozo ? HahahaHili ndio kosa lake,
"Never outshine the boss"
Hii ni kushughulika na wahaya. Toa mhaya weka shemeji mhaya. Ataitwa UN karibuni ngoja tusubiri.Mula Mula amewekwa bench?
Hufaham chochote ndio maanaIna kitu gani cha zaidi? CDF ndiye anaamua kila kitu, Waziri ni ceremonial, I can say!
Mdomo wenyewe umeshapinda akiwa kijana vile kuongea tabu then aje kuwa Rais,Mimi naona bashungwa anaweza kuwa hata Rais, Makamu wa Rais hata Waziri mkuu. Jamaa connection kati ya mzee wake na jiwe imembeba, na yeye kabebeka [emoji23][emoji23]
ukisha kuwa othuman ni tatizoHufaham chochote ndio maana
Kilaza wahedHalafu??? Vilaza mpo wengi sana