Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Namtabiria uwazir mkuu mnk kwa kipindi chote Cha siasa alianzia juu tu na Hana history ya kupeteza wizara huyu bwana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi naona bashungwa anaweza kuwa hata Rais, Makamu wa Rais hata Waziri mkuu. Jamaa connection kati ya mzee wake na jiwe imembeba, na yeye kabebeka 😂😂
 
Huyo Dr TAX katokea huko huko Civil Services ni mtu wao; Wala hakuna shida kuwa waziri wa mambo nje ni njagu wa zamani.

Wizara ya ulinzi huyu mtu ata hatujui shughuli yake haswa, ila Bashungwa kasomeshwa na serikali nje ya nchi na kurudi kapewa kazi serikalini sasa kama hujui hawa watu huwa ni wa aina gani kazi kwako (tatizo labda wapewe wizara ngumu).

Hila huyu Kairuki TAMISEMI ni maza kutuletea utani tena watanzania.

Huyu Kairuki wa kumpa TAMISEMI hizi sasa dharau.

Bashungwa kasomeshwa na Baba yake Marekani
 
Wizara ya TAMISEMI inatakiwa iwe na Waziri mkali sana.

Kiufupi inatakiwa Waziri wa TAMISEMI awe na 'roho mbaya' sana na asiwe na huruma dhidi ya wizi au uzembe unaopelekea mali ya Umma kupotea.
Sina hakika kama aliyetoka na aliyeteuliwa wana sifa hizo.

Labda ndani ya CCM kuna uhaba wa watu wanaofaa kuwa Mawaziri ama tunateuana kwa kuangalia kama tunajuana.

Ukisema mwenye Roho mbaya unakosea wizara haitaji mtu mpole wala mla Urojo Bali mwenye msimamo na hasiemuoga Hussein Bashe angetoshea. Shabiby , Masele wangetoshea japo nasikia Angela kairuki ni mkali hapendi ujinga na ni mbabe . Tusubili matokeo
 
Upo sahihi mkuu. Yaani Jiwe alikuwa rafiki sana na Baba yake bashungwa. Hivyo baba yake alilipenyeza jina lake kwa jiwe enzi hizo yaani kiufupi ni connection kati ya Baba inno na jiwe ndio ilimbeba Na huyo inno akatoka usa, kisha akazugazuga hapo wizarani kuna kazi fulani alikuwa nayo hapo na kampuni fulani hivi , huku mke wake alikuwa maarufu kama Mama alaska, halafu kupitia connection ya baba yake jamaa akawa mbunge wa karagwe, kisha waziri. Ndio mpaka leo hii.

Achana na Connection. Ni kitu kingine kabisa 😂😂😂

Matango Pori Baba yake Inno amefariki long time kabla Inno hajaingia kwenye siasa na hajaoa wala JPM hajawa Raisi

Baba yake Inno alikua ni mmiliki wa Shule flani English Medium Zamani sana alikua na sponsors kutoka Marekani wa kumsaidia kuendesha Shule zake kupitia exchange program Ya walimu na JPM alikua Mwalimu connection zao zilianzia huko
 
Kumbe connection ipo longtime kitambo. Aisee nimeheshimu connection. Ongeza nyama mkuu. Mbona jamaa anasurvive sana huko kwenye system? Au ndio raisi ajaye?
Screenshot_20221003-010604.png

Halafu hii screenshot nimeitoa kwenye group. Naona hata Magu mwenyewe aliwahi kusema anamfahamu Baba yake. Inawezekana connection ni ya muda mrefu sana kuliko watu wanavyojua.
 
Kumbe connection ipo longtime kitambo. Aisee nimeheshimu connection. Ongeza nyama mkuu. Mbona jamaa anasurvive sana huko kwenye system? Au ndio raisi ajaye?View attachment 2376548

Halafu hii screenshot nimeitoa kwenye group. Naona hata Magu mwenyewe aliwahi kusema anamfahamu Baba yake. Inawezekana connection ni ya muda mrefu sana kuliko watu wanavyojua.

Mmiliki wa International Schools ( Mr Bash) tangu enzi za Mwinyi na Mwalimu wa Kawaida kama JPM lazima wawe na connection lazima JPM ajipendekeze
 
Mmiliki wa International Schools ( Mr Bash) tangu enzi za Mwinyi na Mwalimu wa Kawaida kama JPM lazima wawe na connection lazima JPM ajipendekeze
Sasa nimeelewa.

Ila nahisi pamoja na kubebwa. Ila jamaa kaamua kubebeka. Naogopa siku akiwa na cheo kizito ambacho hakitamfanya awe "robot"/chawa ndio tutamjua vizuri yeye ni nani 😂😂

Mfano inno awe rais wa Tz.
 
Inno ana busara na ni mpole mstaarabu ana Moyo wa kusaidia watu na huruma hawezi kubadilika hata akiwa Raisi ni mtu wa totoz ndio weakness yake
 
Inno ana busara na ni mpole mstaarabu ana Moyo wa kusaidia watu na huruma hawezi kubadilika ni mtu wa totoz ndio weakness yake
😂
Mke wake naona ni mwendo wa kuzaa na kunyonyesha tu. Ila nina mashaka sana. Naona marafiki wa mke wake ni totoz na mamiss 😂😂😂😂 nahisi kuna namna hapo. 😂😂😂 Hao mashosti isijekuwa ndi assistant waifu 😂😂
 
Ana zaa sana for security Ya Ndoa hasiache nafasi hata siku akipinduliwa na mashosti huruma ya watoto imludishe ndoani 😂😂😂😂
 
Ana zaa sana for security Ya Ndoa hasiache nafasi hata siku akipinduliwa na mashosti huruma ya watoto imludishe ndoani 😂😂😂😂
😂😂😂
Na kwa jinsi Inno anavyoendelea kulamba teuzi lazima totoz zitaendelea kumtafuta sana inno. Acha azae tu na kunyonyesha 😂😂😂. Acha akomae tu, ligi ni ngumu sana 😂😂😂
 
Mimi naona bashungwa anaweza kuwa hata Rais, Makamu wa Rais hata Waziri mkuu. Jamaa connection kati ya mzee wake na jiwe imembeba, na yeye kabebeka [emoji23][emoji23]
Mdomo wenyewe umeshapinda akiwa kijana vile kuongea tabu then aje kuwa Rais,

Namuona mwigulu kwa mbaali japo watu hawapendi kusikia hilo.
 
Salaam lehkum!
Ndugu wana jamvi nimewaiteni Hapa jioni ya Leo kujadili hi hatua aliyoichukuwa rais wetu kumteuwa mh Angela kairuki (MB) kuwa mbunge na baadae kumteuwa kama waziri wa Tamisemi

Ndugu wajumbe
Hili Jambo alilolifanya rais mh Samia Suluhu limenikera San na kunikwaza San ,Ina maana ndani ya bunge venye zaid ya watu 360 Hakuna wenye uwezo wa kuwa waziri wa Tamisemi mpaka ukamchukue mtu mtaani huko aje apige kazi wakt ndani kumejaha wabunge wengi tu wenye uwezo na uweledi mzuri wa kuongoza wizara ya Tamisemi .kwann uhangaike na mtu aliyeshindwa uchaguzi umtoe uko aje kuwa mbunge Kisha uwaziri tena wa wizara mam kabsa nyeti ya Tamisemi .

sijaona sababu ya kumchukuwa mam huyo mke wa balozi mbelwa kairuki Kuja kuwa waziri these is very arrogant and unacceptable at all in a civilized society .unajenga inferiority complex kwa baadhi wa wabunge hodari

Kairuki angekwenda kumfata mume wake huko China wale mtoto wao mdogo na siyo Kuja kukimbizana na wakurugenzi wa serekali za mitaa ni kujitafutia lawama tu kama Kaz, kazi zipo nyingi tu hata ukuu wa mkoa ungempa tu Kama unampenda Zaid ila siyo Kuja kumjaribu Tamisemi,Tamisemi Ni majanga Ni mfupa haswa wanaume wameshindwa mam utaaweza ???

Sijampigia mtu chapuo ila ndani mle Kuna watu Kaz Kaz bhna Tena hata wangepiga kazi hyo kwa ustadi wa Hali ya juu ,ummy kashndwa ,innocent kashindwa ,jafo pmj na kuhudumu muda mrefu lkn kashindwa sas huyu mam mtoto mchanga ataweza nn !!sas ikiwa mfupa ulimshinda mzaramo jafo wew utaweza au utakuja fukuzana wakurugenzi tu

Ni Bora hata hyo wizara ukampa mkwe wako mh mchengwera Kisha utamaduni ukampa huyohyuo gekul ,kwanini nimesema umpe mh mchengerwa Ni kwa sababu jamaa Ni mpiga kazi na yuko very humble Sana down to the earth hajikwezi alfu nimuelewa sna yule jama watumishi watamkumbuka San enzi akiwa ofisi ya rais utumishi watu walifurahi San kwa kuwa Hana upendeleoo na anafikika sana

Baada ya kusema hayo nawasilisha
Kaimu katibu mkuu ffc

Sent from my Germany technology zpc
 
Back
Top Bottom