Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Ni haki ya Rais ya kikatiba, hajavunja katiba unasumbuliwa na wivu, ukizeeka utakuwa mchawi.

Wabunge wa kuwateuwa hawa matapeli kina Kabudi? Au Kibajaji? Au Msukuma?
 
Ni haki ya Rais ya kikatiba, hajavunja katiba unasumbuliwa na wivu, ukizeeka utakuwa mchawi.

Wabunge wa kuwateuwa hawa matapeli kina Kabudi? Au Kibajaji? Au Msukuma?
Sina wivu mkuu mm Niko POA tu tatizo langu ndani ya bunge hakuna watu wengine? hata angekupa wee mbunge wa makete fresh tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi niliandika uzi humu hizi ishu za watu kuwa na vyeo kibao, mume balozi mke waziri, aisee huu ni ufala..watu kibao mtaani hawana kazi
 
Tuende taratibu, kwanza nijue wewe upo ndani au nje ya Bunge,halafu kwanini ukereke,kwani hiyo inaweza kuwa riski ya aliyekuwa,kamwe haiwezi geuka kuwa yako kama haikupangwa kuwa hivyo.Basi kwa hayo wewe tulia ya kwako ipo.
 
Wabunge wengi uwezo wao ni mdogo, vilevile kufanyakazi na mtu ambaye hujawahi kufanya naye kazi ni ngumu sana.Angera Kairuki yuko poa sana utendaji wake.
 
Tuende taratibu, kwanza nijue wewe upo ndani au nje ya Bunge,halafu kwanini ukereke,kwani hiyo inaweza kuwa riski ya aliyekuwa,kamwe haiwezi geuka kuwa yako kama haikupangwa kuwa hivyo.Basi kwa hayo wewe tulia ya kwako ipo.
Nina mshikaji wangu Ni mbunge na pia anafaha kwa nafsi ya uwaziri wa Tamisemi au mamb ya ndani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…