Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Ni haki ya Rais ya kikatiba, hajavunja katiba unasumbuliwa na wivu, ukizeeka utakuwa mchawi.

Wabunge wa kuwateuwa hawa matapeli kina Kabudi? Au Kibajaji? Au Msukuma?
 
Ni haki ya Rais ya kikatiba, hajavunja katiba unasumbuliwa na wivu, ukizeeka utakuwa mchawi.

Wabunge wa kuwateuwa hawa matapeli kina Kabudi? Au Kibajaji? Au Msukuma?
Sina wivu mkuu mm Niko POA tu tatizo langu ndani ya bunge hakuna watu wengine? hata angekupa wee mbunge wa makete fresh tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi niliandika uzi humu hizi ishu za watu kuwa na vyeo kibao, mume balozi mke waziri, aisee huu ni ufala..watu kibao mtaani hawana kazi
 
Salaam lehkum!
Ndugu wana jamvi nimewaiteni Hapa jioni ya Leo kujadili hi hatua aliyoichukuwa rais wetu kumteuwa mh Angela kairuki (MB) kuwa mbunge na baadae kumteuwa kama waziri wa Tamisemi

Ndugu wajumbe
Hili Jambo alilolifanya rais mh Samia Suluhu limenikera San na kunikwaza San ,Ina maana ndani ya bunge venye zaid ya watu 360 Hakuna wenye uwezo wa kuwa waziri wa Tamisemi mpaka ukamchukue mtu mtaani huko aje apige kazi wakt ndani kumejaha wabunge wengi tu wenye uwezo na uweledi mzuri wa kuongoza wizara ya Tamisemi .kwann uhangaike na mtu aliyeshindwa uchaguzi umtoe uko aje kuwa mbunge Kisha uwaziri tena wa wizara mam kabsa nyeti ya Tamisemi .

sijaona sababu ya kumchukuwa mam huyo mke wa balozi mbelwa kairuki Kuja kuwa waziri these is very arrogant and unacceptable at all in a civilized society .unajenga inferiority complex kwa baadhi wa wabunge hodari

Kairuki angekwenda kumfata mume wake huko China wale mtoto wao mdogo na siyo Kuja kukimbizana na wakurugenzi wa serekali za mitaa ni kujitafutia lawama tu kama Kaz, kazi zipo nyingi tu hata ukuu wa mkoa ungempa tu Kama unampenda Zaid ila siyo Kuja kumjaribu Tamisemi,Tamisemi Ni majanga Ni mfupa haswa wanaume wameshindwa mam utaaweza ???

Sijampigia mtu chapuo ila ndani mle Kuna watu Kaz Kaz bhna Tena hata wangepiga kazi hyo kwa ustadi wa Hali ya juu ,ummy kashndwa ,innocent kashindwa ,jafo pmj na kuhudumu muda mrefu lkn kashindwa sas huyu mam mtoto mchanga ataweza nn !!sas ikiwa mfupa ulimshinda mzaramo jafo wew utaweza au utakuja fukuzana wakurugenzi tu

Ni Bora hata hyo wizara ukampa mkwe wako mh mchengwera Kisha utamaduni ukampa huyohyuo gekul ,kwanini nimesema umpe mh mchengerwa Ni kwa sababu jamaa Ni mpiga kazi na yuko very humble Sana down to the earth hajikwezi alfu nimuelewa sna yule jama watumishi watamkumbuka San enzi akiwa ofisi ya rais utumishi watu walifurahi San kwa kuwa Hana upendeleoo na anafikika sana

Baada ya kusema hayo nawasilisha
Kaimu katibu mkuu ffc

Sent from my Germany technology zpc
Tuende taratibu, kwanza nijue wewe upo ndani au nje ya Bunge,halafu kwanini ukereke,kwani hiyo inaweza kuwa riski ya aliyekuwa,kamwe haiwezi geuka kuwa yako kama haikupangwa kuwa hivyo.Basi kwa hayo wewe tulia ya kwako ipo.
 
Wabunge wengi uwezo wao ni mdogo, vilevile kufanyakazi na mtu ambaye hujawahi kufanya naye kazi ni ngumu sana.Angera Kairuki yuko poa sana utendaji wake.
 
Tuende taratibu, kwanza nijue wewe upo ndani au nje ya Bunge,halafu kwanini ukereke,kwani hiyo inaweza kuwa riski ya aliyekuwa,kamwe haiwezi geuka kuwa yako kama haikupangwa kuwa hivyo.Basi kwa hayo wewe tulia ya kwako ipo.
Nina mshikaji wangu Ni mbunge na pia anafaha kwa nafsi ya uwaziri wa Tamisemi au mamb ya ndani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom