Moniel
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 274
- 603
Bashungwa anatafutiwa sababu atemwe mazimaBashungwa anaoneka sio mtu wa mihemko. Kule TAMISEMI kulikuwa hakumfai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashungwa anatafutiwa sababu atemwe mazimaBashungwa anaoneka sio mtu wa mihemko. Kule TAMISEMI kulikuwa hakumfai
Ni ujinga sana. Akikujibu ni tagDah, Mapenzi bwana!
Kwahiyo umwamba ni nini hapo sasa kiongozi?!!!
Na kwa nini wewe msomi "kama" umeianza na herufi kubwa? Na "nan" ndio nini?Sio balaza ni baraza wewe kilaza. Alafu unasema baraza halipo sawa wewe Kama nan?
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee teuzi za usiku hizi unalala mikocheni unaamkia bonyokwa kwako.
Kama ni kutafutiwa sababu angeachwa hapo hapo TAMISEMI penye lawama au angepelekwa Nishati! Lakini wizara ya ulinzi kule ni mteremko. Mwangalie Dkt Mwinyi angekuwa TAMISEMI uraisi wa Zanzibar angeishia kuusoma kwenye magazeti!Bashungwa anatafutiwa sababu atemwe mazima
Kila la heriRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Kwani hata akitemwa bila kutafutiwa sababu anaweza akafanya Nini?Bashungwa anatafutiwa sababu atemwe mazima
Kila kitu konekshen ndugu Ngoja naye akaendelee kula mema ya nchi maana alikuwa bench mpka ktamboooInamaana Wabunge wote ndani ya CCM hakuna mwenye Uwezo wa kushika Wizara mpaka Raisi kaamua kuongeza mtu kutoka nje.
Aaah anyway pesa ya chai kesho sina ila mama anaupiga mwing nilale mieRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Huyo alishastaafu kazi apumzike ale pensheni, mbona watu wenye uwezo wapo wengi tuDkt Stergomena ni 62 na Mula 66. Hiyo haiwezi kuwa sababu
Inamaana Wabunge wote ndani ya CCM hakuna mwenye Uwezo wa kushika Wizara mpaka Raisi kaamua kuongeza mtu kutoka nje.
Bashungwa anahamishwa sana ajiangalie soon atatupwa nje.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Tamisemi ngumu Angellah hawezi basi tuMulamula kakosea wapi?Kairuki ataweza kweli Tamisemi ?
Mabadiliko yasiyo na tija kabisa.Stargomena tax to Inocent Bashungwa ;-Mama amejificha KWENYE mchicha mi nimemuona!!
BashungwaHapo pa Bashungwa...mmmh!!!