Labda hiyo kazi maalumu itakua imekwisha.Wizara ya kazi maalum imejifia?
Mama Yako wewe na nani?Our mom🙏
Yani serikali inatuchukulia pouwa sana ila IPO siku uyu kiziga matuhuma kibao mpaka mwenda zake alishamsema eti leo kawa msafi akatunge sheria na kuisimamia serikali mtu mwizi jambaziFor which legit election!
Huenda akawa waziri wa wzara gani?kwa hio kiziga kawa mbunge !
safari ya uwaziri sasa.