Rais Samia afanya Uhamisho, Uteuzi na Utenguzi wa nafasi mbalimbali. Angela Kiziga ateuliwa kuwa Mbunge

TOKA WAANZE KUTENGUA NA KUTEUANA TUMEFAIDIKA NINI?!?!!
 
Uyu mama wa kizanzibar anadharau sana anatuona watanzania wajinga wapumbafu hatuna lolote mtu mwenye matuhuma kibao tena yenhe ushahidi unampeleka bungeni kufanya nini hakuna hata sehemu moja amewahi kujibu tuhuma anazopewa

Na sababu ipi anamtengua mkurugenzi wa EWURA na mpaka mda huu wizara ya michezo mawaziri wapo tu wakati report ya CAG imesema kuna madudu au kiufupi hii serikali IPO SIKU endeleeni tuona watanganyika wajinga na nyie ndio mnakili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…