Rais Samia afanya Uhamisho, Uteuzi na Utenguzi wa nafasi mbalimbali. Angela Kiziga ateuliwa kuwa Mbunge

Bro Andi ni mtu wa kitengo tangu zamani, kashakula sana mashavu wizarani, TPDC n.k
Ukijua siri ya pesa na maslahi ,the more unapata hizo shavu ,basi hata kuridhika ni kudogo sana hapo jamaa kwa umri wake anaona bado...Anawaona wakongwe wakina Kikwete bado wanachguliwa kwenye Taasisi za kimataifa...Ila kuhusu njaa hana ,hapo ataendelea kula mshahara kama MD wa EWURA mpaka apate kitengo chenye mshahara mkubwa zaidi.
 
Yani serikali inatuchukulia pouwa sana ila IPO siku uyu kiziga matuhuma kibao mpaka mwenda zake alishamsema eti leo kawa msafi akatunge sheria na kuisimamia serikali mtu mwizi jambazi
 

Mnamuonea tu Rafiki wa kweli ni wakati wa dhiki na Raha. Hata kama ni wewe Rafiki yako kwanini asipate kizuri kutoka kwako? Dunia ndiyo hii hii unafiki kila sehemu unataka Nafasi hiyo ampe nani?
 
Hv yule Anjera Kiziga anatitle gani tena pale ikulu, si ameshakuwa mbunge huyu mbona leo pale Ikulu wakati Raisi Chakwera anaingia nimemuona kwenye mapokezi na imepostiwa leo (Maelezo News IG)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…