Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Yote haya hayaondoi ukweli kuwa magufuli aliweka mbele ukabila ,udini na ukanda kuanzia kwenye nafasi za uongozi mpaka mgawanyo wa rasilimali za nchi.
Wewe ni mjinga sana unataka wasukuma waziajiriwe? Je wanaosoma vyuoni waache maana wakiteuliwa wanaziba nafasi zenu!
 
Sasa unategemea kwa idadi ya waislam zanzibar chance ya kumpata vice president mkristo unaitoa wapi? Tumia akili kufikiri
Acha ujinga zanzibar wakristo wapo wa kutosha na wamesoma sana tu! Ila mmehodhi kwa udini wenu!
 
Hii panga pangua kumbe ni mkakati maalum wa kuleta mgao. Yaani hawataki wa zamani wabaki kusije kukatokea mgawanyiko.
 
Hii panga pangua kumbe ni mkakati maalum wa kuleta mgao. Yaani hawataki wa zamani wabaki kusije kukatokea mgawanyiko.
With great sadness Mama Samia haiwezi Tanzania.
Anasikitisha sana....kupata viongozi kama tulivyompata yeye by default ni mzigo mkubwa sana.
This is total failure.
 
With great sadness Mama Samia haiwezi Tanzania.
Anasikitisha sana....kupata viongozi kama tulivyompata yeye by default ni mzigo mkubwa sana.
This is total failure.
Bad enough anawaza 2025. Aisee tuna shida sana.
 
Back
Top Bottom