-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
KAnda ya ziwa killerNaona Prof Janabi, Rais kapenda kazi yake ya kuelimisha jamii.
kamuongezea majukumu.
Mpo obssessed sana na hiyo nafasi. Halafu haipatikani hivo mnavyofikiriNilikuwa naiona ile orodha ya Madaktari 6 kwenye luninga wanaopendekezwa kugombea nafasi iliyoachwa Wazi kufuatia Kifo Cha Dr Ndugulile pale WHO Africa
Ni kama Janabi ameshawaacha wenzake nyuma
Baadae Mlale unono 😀
Roho (mzimu) ya jamaa unamtafuna Sana defence mechanism zote zitaisha, wenye jicho la rohoni tunamuona anavyohangaika.KAnda ya ziwa killer
Kwa nini asiondoke mzee akipata sehemu nyingine ujue hatokaa milele muhimbili muhimu watakuja wengine na maisha yataendelea magufuli aliondoka akiwa rais maisha yamesonga halafu nipe sababu 2 tu kwa nini hutaki janabi kuondoka muhimbiliNAFASI YA WHO NI NZURI SANA LAKINI SITATAMANI KABISA JANABI AONDOKE MUHIMBILI MUDA HUU
MPOKI ULISUBISYA ANAFAA SANA KUGOMBEA NAFASI HIYO.
TAFADHALI SANA JANABI ASIONDOKE MUHIMBILI WAKATI HUU
Hata angekuwa Nani yule hawezi kupata kwanza sio SMART NA hana confidence wala experience pia hana influence….Mollel ni clinical officer, wala haendani na hicho cheo. Prof. Janabi anaweza, ila kwa nchi naona ni hasara, ana shiriki kikamilifu kwenye upasuaji wa moyo Muhimbili pale hivyo kusaidia directly kuokoa maisha kwa wengi. Kigwangala nae kama Mollel tu, hawana hadhi ya hivyo
DuhWhy,kwa sababu ni MKIRISTO??
AU KWA KILA ANACHOSEMA MWAMPOSA KWAKO WEWE NI TAWIREE...
Asipoangalia anaweza kuangukia pua kwenye hii wizara.Kabudi tena? Bashungwa mambo ya ndani na palivyo pagumu sasa hivi ataweza kweli? Ngoja tuone
Bashungwa atapaweza mambo ya ndani. Mama ameshaona kitu kwakeKabudi tena? Bashungwa mambo ya ndani na palivyo pagumu sasa hivi ataweza kweli? Ngoja tuone
Yesu gani huyo wa kufanya kazi za kibinadamu?Kwa jinsi Taifa lilivyo hata yesu angerudi awe waziri wa mambo ya ndani hakuna kitu kingebadilika!!
2027!!Mteule, mwingine huyu hapa!
Sijajua Huwa anashauriwa na nani!!
Mfumo wa kijima bado tunahitaji katiba mpyaWakuu,
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama ifuatavyo:-
(i) Mhe. Rais Dkt. Samia amehamisha majukumu ya sekta ya habari kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;
(ii) Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
(iii) Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria
(iv) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira);
(v) Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi;
(vi) Mhe. Abdallah Hamis Ulega (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi;
(vii) Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;
(viii) Bw. Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali;
(ix) Dkt. James Henry Kilabuko ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
(x) Dkt. Stephen Justice Nindi ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo anayeshughulikia masuala ya ushirika na umwagiliaji;
(xi) Dkt. Suleiman Hassan Serera amehamishwa kutoka Wizara ya Kilimo kwenda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara.Aidha, Balozi Dkt. John Stephen Simbachawene atapangiwa kituo cha kazi;
(xii) Prof Mohamed Yakub Janabi ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba. Aidha, pamoja na nafasi hiyo Prof. Janabi ataendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili
(xiii) Bw. Anderson Gukwi Mutatembwa ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;(xiv) Bw. Mobhare Matinyi ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;
(xv) Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;
(xvi) Kamishna wa Polisi CP. Suzan Kaganda ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;
(xvii) Bw. Thobias Makoba aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi.
Uapisho wa Viongozi walioteuliwa utafanyika Ikulu Ndogo, Tunguu Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024 kuanzia saa 5.00 asubuhi.
Masauni angefukuzwa kabisa. Huyu mama anapenda kuwalinda hao wauaji, kwa vile wanamfichia siri. Masauni needs to be fired.Wakuu,
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.
euliwa utafanyika Ikulu Ndogo, Tunguu Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024 kuanzia saa 5.00 asubuhi.
Masauni angefukuzwa kabisa. Huyu mama anapenda kuwalinda hao wauaji, kwa vile wanamfichia siri. Masauni needs to be fired.
Amemuhitaji kwenye kuisemea serikali na pia mipango ya kulinda na kukuza utamaduni.Huy mama nae sasa kabudi na sanaa wapi na wapi
Janabi ni uteuzi wa pensheni.Wakuu,