Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Nilikuwa naiona ile orodha ya Madaktari 6 kwenye luninga wanaopendekezwa kugombea nafasi iliyoachwa Wazi kufuatia Kifo Cha Dr Ndugulile pale WHO Africa

Ni kama Janabi ameshawaacha wenzake nyuma

Baadae Mlale unono 😀
Mpo obssessed sana na hiyo nafasi. Halafu haipatikani hivo mnavyofikiri

Fau alishindanishwa na watu ma prof with experience and papers zaidi ya 100, While Fau with his 10 paper only na ka master kake ka Mmed ka hapo MUHAS akaweza kupiku hao wasomi na mambo mengi

The post is about connecton, WHO wakukubali na uwe chawa pia, uwe kuna vitu umefanya to boost YOUR confidence . Ule uchawq wa fau kulikisha info za covid hadi JPM akamchomoa pale wizarani zilimpa mileage na jamaa wakamwambia tutakupa sapoti gombea ukurugenzi. Kama yule mtoto wa malecela angekuwepo …… yule nae angepata

Janabi hana wow factors na ni underdog sana kwenye highest political positons na leadership skilss…. Fau alikuwa na experience na expert kwenye Health Policy za nchi mbalimbali kulingana na
Position alizoshika. Janabi ni yupo kwenye operational zaidi na sio SERA, he would not make a suitable candidate hawezi kupata wala kupewa ….Maisha sio rahisi hivo kuwa akifa huyu tutamuweka huyu….. hizo sio post za CCM na teuzi zenu….. ever wondered why huko nyuma hatukuwahi KUWA na DG WHO … au mnadhan watu hawakuwa wanaomba hizo post?

Weil , kama mnataka kuweka karata tena next phase kwa mtu ambae ni a good politcian, strong leadership skills na health Policy experience mumuandae Mpoki….. huyo anaweza kuleta mantiki in the future ……. Arudishwe wizarani kwenye managerial level as in katibu au naibu waziri…….. kumuweka MPOKI CEO wa MOI ni kumuwekambali na hizo post maana hizo sehemu za MOI ni za ki operational zaidi sio leadership experience na sera za afya. All in all ni lazima pia awe kupe wa WHO kama alivyokuwa Mwera Malecela na faustine

Janabi aendelee kutoa ushauri watu wasinywe soda na chips, na pia waangalie kama wanakojoa mkojo wa povu na kiuno cha suruali zaidi ya 40 size
 
Attachments

  • IMG_3641.jpeg
    IMG_3641.jpeg
    152.5 KB · Views: 4
NAFASI YA WHO NI NZURI SANA LAKINI SITATAMANI KABISA JANABI AONDOKE MUHIMBILI MUDA HUU

MPOKI ULISUBISYA ANAFAA SANA KUGOMBEA NAFASI HIYO.

TAFADHALI SANA JANABI ASIONDOKE MUHIMBILI WAKATI HUU
Kwa nini asiondoke mzee akipata sehemu nyingine ujue hatokaa milele muhimbili muhimu watakuja wengine na maisha yataendelea magufuli aliondoka akiwa rais maisha yamesonga halafu nipe sababu 2 tu kwa nini hutaki janabi kuondoka muhimbili
 
Mollel ni clinical officer, wala haendani na hicho cheo. Prof. Janabi anaweza, ila kwa nchi naona ni hasara, ana shiriki kikamilifu kwenye upasuaji wa moyo Muhimbili pale hivyo kusaidia directly kuokoa maisha kwa wengi. Kigwangala nae kama Mollel tu, hawana hadhi ya hivyo
Hata angekuwa Nani yule hawezi kupata kwanza sio SMART NA hana confidence wala experience pia hana influence….

Fau alianza kujiandaa 4 years back …… wengi wanadhani promo za Samia ndio zimempa Cheo Fau…… honestly mnajidanganya

JK na Ngosha walishawahi ku endorse watu kwa hizo post….. wote walitoka kwenye preliminary stage….. guys hizo sio post za CCM mnapeana bila uwezo

molel hata akiandaliwa HAFAI

KIGANGWALA hata akiandaliwaHAFAI …. Yule
Ni muhuni kama wahuni mwîngine , not Even smart yaani hana intelligence

Anae fit ni mpoki aanze kuandaliwa now for 2029 , tena with pre conditions

Atolewe hapo MOI aende kwenye policy na sio kubaki kwenye operation

Awe chawa na kipenyo wa WHO kama alivyokuwa FAU na mwera

Apewe hata ubunge wa viti maalum

Afanye publish za kutosha kwenye scientifique journal

Those are the things would build his candidacy strong in the future
 
Wakuu,

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama ifuatavyo:-

(i) Mhe. Rais Dkt. Samia amehamisha majukumu ya sekta ya habari kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;

(ii) Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

(iii) Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

(iv) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira);

(v) Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi;

(vi) Mhe. Abdallah Hamis Ulega (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi;

(vii) Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;

(viii) Bw. Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali;

(ix) Dkt. James Henry Kilabuko ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

(x) Dkt. Stephen Justice Nindi ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo anayeshughulikia masuala ya ushirika na umwagiliaji;

(xi) Dkt. Suleiman Hassan Serera amehamishwa kutoka Wizara ya Kilimo kwenda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara.Aidha, Balozi Dkt. John Stephen Simbachawene atapangiwa kituo cha kazi;

(xii) Prof Mohamed Yakub Janabi ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba. Aidha, pamoja na nafasi hiyo Prof. Janabi ataendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili

(xiii) Bw. Anderson Gukwi Mutatembwa ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;(xiv) Bw. Mobhare Matinyi ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xv) Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xvi) Kamishna wa Polisi CP. Suzan Kaganda ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xvii) Bw. Thobias Makoba aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi.

Uapisho wa Viongozi walioteuliwa utafanyika Ikulu Ndogo, Tunguu Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024 kuanzia saa 5.00 asubuhi.

Mfumo wa kijima bado tunahitaji katiba mpya

Unamteua polisi kuwa balozi kweli??
 
Janabi ni uteuzi wa pensheni.
 
Jana trh 09/12/ 2024 Mhe. Rais Dkt Samia kafanya tena mabadiliko madogo ya baraza ni jambo jema, ila kinacho shangaza kuna mawaziri wamechezeshwa hapohapo kila mabadiliko, mfano Waziri Ndumbaro kacheza sana drafting hapo, kwa niaba ya wananchi tunashauri, kama waziri hatoshi apumzishwe, kuna watanzania wasomi na weledi wwngi sana, wapewe nafasi kuitumikia Nchi yao badala ya majina hayo hayo.....Ndumbarooo ndumbarooo!!!
 
Back
Top Bottom