Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Kwa hiyo title inapotosha. Masauni hajapigwa chini bali amehamishwa wizara.

Kumpiga chini Rais mtarajiwa wa Zanzibar sio kazi rahisi
 

Kwa hiyo jafo mwendo kaumaliza
Jafo alihamishwa zamani yupo
Wizara ya Viwanda Biashara, na Uwekezaji
 
Yaani Kabudi akacheze Ngoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…