Tutapata Tabu Sana SanaProfessor Janabi.
Wacha tukokotane kumaliza mwaka!Wakuu,
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama ifuatavyo:-
(i) Mhe. Rais Dkt. Samia amehamisha majukumu ya sekta ya habari kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;
(ii) Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
(iii) Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria
(iv) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira);
(v) Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi;
(vi) Mhe. Abdallah Hamis Ulega (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi;
(vii) Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;
(viii) Bw. Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali;
(ix) Dkt. James Henry Kilabuko ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
(x) Dkt. Stephen Justice Nindi ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo anayeshughulikia masuala ya ushirika na umwagiliaji;
(xi) Dkt. Suleiman Hassan Serera amehamishwa kutoka Wizara ya Kilimo kwenda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara.Aidha, Balozi Dkt. John Stephen Simbachawene atapangiwa kituo cha kazi;
(xii) Prof Mohamed Yakub Janabi ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba. Aidha, pamoja na nafasi hiyo Prof. Janabi ataendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili
(xiii) Bw. Anderson Gukwi Mutatembwa ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;(xiv) Bw. Mobhare Matinyi ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;
(xv) Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;
(xvi) Kamishna wa Polisi CP. Suzan Kaganda ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;
(xvii) Bw. Thobias Makoba aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi.
Uapisho wa Viongozi walioteuliwa utafanyika Ikulu Ndogo, Tunguu Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024 kuanzia saa 5.00 asubuhi.
Hili la masauni ndio lilikuwa linaangaliwa sana, yanayoendelea chini ya wizara yake hayakuwa mazuriWakuu,

Hivi serious una akili timamu unawapeleka Mollel na Kingwalagwala WHO? acheni utani wa kijinga kwenye mambo ya msingiNilikuwa naiona ile orodha ya Madaktari 6 kwenye luninga wanaopendekezwa kugombea nafasi iliyoachwa Wazi kufuatia Kifo Cha Dr Ndugulile pale WHO Africa
Ni kama Janabi ameshawaacha wenzake nyuma
Baadae Mlale unono 😀
Big yesThe person who gonna challenge this chance is Dr. Ulusibisye Mpoki, the current boss of MMH.
Yaani mambo ya hovyo tupuMawaziri wamepanguliwa na Janabi kaongezewa Ikulu
Mama anawaapisha tarehe 10 Kizimkazi
Kalaga bahoo
Jafo sii mtu chawa.Yuko very bright huwezijua kama ni mswahili wa pwaniSuleiman Jafo nafikiri tupo wizara ya viwanda na biashara ka sikosei.
By
Mkurugenzi mawasiliano ya Raisi, ikulu.
Weka orodha ya mawaziri na manaibu waziri,makatibu wakuu na manaibu wao, wakuu wa mikoa,wilaya,ras,ded,das Ili tuhesabu wa ijumaa na jumapiliMaza ni mdini balaa
Fanya utafiti kidogoWeka orodha ya mawaziri na manaibu waziri,makatibu wakuu na manaibu wao, wakuu wa mikoa,wilaya,ras,ded,das Ili tuhesabu wa ijumaa na jumapili
Wanaleta siasa kwenye afya za watu.Hivi serious una akili timamu unawapeleka Mollel na Kingwalagwala WHO? acheni utani wa kijinga kwenye mambo ya msingi
Tena siasa za kipumbavu haswaWanaleta siasa kwenye afya za watu.