technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kwa jinsi Taifa lilivyo hata yesu angerudi awe waziri wa mambo ya ndani hakuna kitu kingebadilika!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi hiyo ya kutekana na kuuana au ya kuiba kura?Kazi iendelee
Kuna siku atajiteua mwenyewe, mbaya zaidi hana muda wa kusoma huwa analetewa na kusaini bila kusomaTeua tengua ......miaka mitano holaa!
Wizara ya mambo ya ndani bado hajateuliwa ???!Wakuu,
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama ifuatavyo:-
(i) Mhe. Rais Dkt. Samia amehamisha majukumu ya sekta ya habari kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;
(ii) Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
(iii) Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria
(iv) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira);
(v) Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi;
Achana na huyo UWT hana akili timamuIpi hiyo ya kutekana na kuuana au ya kuiba kura?
Ya kuleta maendeleoIpi hiyo ya kutekana na kuuana au ya kuiba kura?
Jafo yupo viwanda, hawezi kuachwa ni mtu wa ijumaaKwa hiyo jafo mwendo kaumaliza
UtaelewaKwann anafanya ivo mbona asomeki
WHO Africa 😄Naona Prof Janabi, Rais kapenda kazi yake ya kuelimisha jamii.
kamuongezea majukumu.
Upuuzi wote huu na teuzi hapati kweli huyu UWTAchana na huyo UWT hana akili timamu
Utateua PS umpeleke wapi?Upuuzi wote huu na teuzi hapati kweli huyu UWT
Mmh mama ataweza mamb ya kula mara 2 tuJanabi Ahakikishe Mama Anakuwa Kama Spika Wa IPU
Katika ImaniJafo yupo viwanda, hawezi kuachwa ni mtu wa ijumaa
Kwa hiyo kuteka na kuua na kuiba kura ameacha?Ya kuleta maendeleo
Maza ni mdini balaaKatika Imani
Noma sana!Ndani ya CCM hakuna mwenye unafuu mkuu ni takataka tupu