Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

HUYO JANABI SI MUISIHARAMU? KAMWE MUISLAMU HANA AKILI YA KUTOA USHAURI WA MAANA WENYE MANUFAA KWA NCHI NA KAMA YUPO MUISLAMU YOYOTE ALIYE WAI KUTOA USHAURI WA MAANA AKIWA NDANI YA UTENDAJI SERIKALI NITAJIWE MMOJA TU...
Ndugu UNAWACHUKIA SANA WAISIHARAMU KAMA UNAVYOWAITA 😳 😅

JE UNAWEZA UKATUAMBIA WALIKUFANYAGA NINI MPAKA USHINDWE KUWASAMEHE KABISA ???
😂😂😂😅😅😅😀😀😀

WEWE PIA HAUKO SAWA MAANA TULIAMBIWA SAMEHE SABA MARA SABINI AU SIO KWELI NDUGU ??!! 😳😅🙏
 
Janabi ni uteuzi wa pensheni.
Inasemekana Janabi na Kikwete ni Damu damu ni Daktari wake 😳
If so , ule uvumi kwamba Maza na Jakaya haziivi it’s Nonsense !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!
Usilolijua ni Usiku wa giza !
Tuendelee kula mtori tu nyama tutazikuta chini !
Simba naye kapigwa goli mbili ila wao ndio walianza kufunga goli , Hongera 😳🙏
 
..Ndumbaru alishakuwa Waziri wa Katiba na Sheria, akabadilishwa.

..Dr.Kijaji aliambiwa Wizara ya Viwanda hakuimudu kwasababu ni "mtoto wa kike" sasa wamemhamishia wizara ya mifugo na uvuvi. Sijui kama huko atakuweza ukizingatia ni " mtoto wa kike. "
mupe muruke mupe muruke !
Hata kwenye Sherehe ni vivyo hivyo !
Maulaji !
 
Ndugu UNAWACHUKIA SANA WAISIHARAMU KAMA UNAVYOWAITA 😳 😅

JE UNAWEZA UKATUAMBIA WALIKUFANYAGA NINI MPAKA USHINDWE KUWASAMEHE KABISA ???
😂😂😂😅😅😅😀😀😀

WEWE PIA HAUKO SAWA MAANA TULIAMBIWA SAMEHE SABA MARA SABINI AU SIO KWELI NDUGU ??!! 😳😅🙏
1)NAWACHUKIA NA 2)SIWACHUKII

1)NAWACHUKIA👉
KWA SABABU WANASHINDWA KUNIJIBU MASWALI YANGU MEMA KUHUSU MUDI BOY ILI NA MIMI NIJUE NIFUATE NJIA GANI YA HAKI KAMA NI UISLAMU AU LA

2)SIWACHUKII👉
.ni kama wanawake tu ...wanawake awafai kuwa viongozi wamesha proof long dunia siku zote ...nchi yetu inapokuwa chini ya viongozi waislamu mambo ya kipumbavu huwa dhahili mfano watoto wa hao viongozi kugeuka miungu gafla tu ...wake za hao viongozi kujitukuza na kujihusisha na mambo maovu kwa kutumia vyeo vya waume zao....je msemo wa ....mama kahaba baba fisadi mtoto anauza ngada kwa hapa tanzania unafiti kwa marais gani zaidi ya marais waislamu ...tujiulize kwanini mabeberu hadi ya kikristo (kinasara)yalipigwa vuta na nyerere na yalimchukia jpm hadi kusema yanatamani siku zote tanzania iongozwe na waislamu ? Kazi ya viongozi waislamu ni kulamba makario ya mabeberu ya kizungu na kiarabu ...tazama hata mambo ya chanjo ya korona nk
 
Wakuu,

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama ifuatavyo:-

(i) Mhe. Rais Dkt. Samia amehamisha majukumu ya sekta ya habari kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;

(ii) Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

(iii) Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

(iv) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira);

(v) Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi;

(vi) Mhe. Abdallah Hamis Ulega (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi;

(vii) Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;

(viii) Bw. Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali;

(ix) Dkt. James Henry Kilabuko ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

(x) Dkt. Stephen Justice Nindi ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo anayeshughulikia masuala ya ushirika na umwagiliaji;

(xi) Dkt. Suleiman Hassan Serera amehamishwa kutoka Wizara ya Kilimo kwenda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara.Aidha, Balozi Dkt. John Stephen Simbachawene atapangiwa kituo cha kazi;

(xii) Prof Mohamed Yakub Janabi ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba. Aidha, pamoja na nafasi hiyo Prof. Janabi ataendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili

(xiii) Bw. Anderson Gukwi Mutatembwa ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;(xiv) Bw. Mobhare Matinyi ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xv) Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xvi) Kamishna wa Polisi CP. Suzan Kaganda ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xvii) Bw. Thobias Makoba aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi.

Uapisho wa Viongozi walioteuliwa utafanyika Ikulu Ndogo, Tunguu Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024 kuanzia saa 5.00 asubuhi.

Polepole Ikulu ilianza kurudi Dar na Sasa imehamia Tunguu Zanzibar chini ya Mama.
Siyo jambo baya.Kote ni nchi Moja.
 
1)NAWACHUKIA NA 2)SIWACHUKII

1)NAWACHUKIA👉
KWA SABABU WANASHINDWA KUNIJIBU MASWALI YANGU MEMA KUHUSU MUDI BOY ILI NA MIMI NIJUE NIFUATE NJIA GANI YA HAKI KAMA NI UISLAMU AU LA

2)SIWACHUKII👉
.ni kama wanawake tu ...wanawake awafai kuwa viongozi wamesha proof long dunia siku zote ...nchi yetu inapokuwa chini ya viongozi waislamu mambo ya kipumbavu huwa dhahili mfano watoto wa hao viongozi kugeuka miungu gafla tu ...wake za hao viongozi kujitukuza na kujihusisha na mambo maovu kwa kutumia vyeo vya waume zao....je msemo wa ....mama kahaba baba fisadi mtoto anauza ngada kwa hapa tanzania unafiti kwa marais gani zaidi ya marais waislamu ...tujiulize kwanini mabeberu hadi ya kikristo (kinasara)yalipigwa vuta na nyerere na yalimchukia jpm hadi kusema yanatamani siku zote tanzania iongozwe na waislamu ? Kazi ya viongozi waislamu ni kulamba makario ya mabeberu ya kijungu na kiarabu ...tazama hata mambo ya chanjo ya korona nk
Shauri zenu na maugomvi yenu na Waisiharamu wenu 😳🙄😅😅😂🧠 !
 
Wakuu,

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama ifuatavyo:-

(i) Mhe. Rais Dkt. Samia amehamisha majukumu ya sekta ya habari kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;

(ii) Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

(iii) Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

(iv) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira);

(v) Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi;

(vi) Mhe. Abdallah Hamis Ulega (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi;

(vii) Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;

(viii) Bw. Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali;

(ix) Dkt. James Henry Kilabuko ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

(x) Dkt. Stephen Justice Nindi ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo anayeshughulikia masuala ya ushirika na umwagiliaji;

(xi) Dkt. Suleiman Hassan Serera amehamishwa kutoka Wizara ya Kilimo kwenda kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara.Aidha, Balozi Dkt. John Stephen Simbachawene atapangiwa kituo cha kazi;

(xii) Prof Mohamed Yakub Janabi ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba. Aidha, pamoja na nafasi hiyo Prof. Janabi ataendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili

(xiii) Bw. Anderson Gukwi Mutatembwa ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;(xiv) Bw. Mobhare Matinyi ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xv) Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xvi) Kamishna wa Polisi CP. Suzan Kaganda ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi;

(xvii) Bw. Thobias Makoba aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ameteuliwa kuwa Balozi na atapangiwa kituo cha kazi.

Uapisho wa Viongozi walioteuliwa utafanyika Ikulu Ndogo, Tunguu Zanzibar tarehe 10 Desemba, 2024 kuanzia saa 5.00 asubuhi.

Kuna tatizo pahala katika taarifa hii, Rais anaanza kuunda Wizara ndipo anateua mtu kutokana na wabunge ili awe Waziri. Kitaalam taarifa ingeanza na kuwa Rais ameunda Wizara zifuatazo ..... Sekta hii imetolewa huku na kwenda huko ikawa wizara hii etc. Weldi unapungua
 
Kwa uteuzi huu muda si mrefu utafanyika Tena uteuzi mwingine, wengi walioteuliwa hawafit katika hizo position.
 
Hii nchi shamba la BB!! Kula kwenu nikuongeza mzigo kwetu walipa kodi ili nyie na familia zenu mnemeke. Hakika amshindwi wasaka tonge.
All the best
 
Back
Top Bottom