GE2025 Rais Samia aidhinisha Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153

TAARIFA KWA UMMA​

Kama inavyofahamika, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza siku ya Jumatano tarehe 29 Oktoba, 2025 kuwa siku ya kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

Aidha, kwa madhumuni ya kuwawezesha wananchi wenye sifa stahiki wakiwemo watumishi wa umma na wafanyakazi katika sekta binafsi kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga kura, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutumia mamlaka aliyopewa chini ya Sheria ya Sikukuu za Kitaifa Sura 35, ameidhinisha tarehe 29 Oktoba, 2025 kuwa siku ya mapumziko.

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,

(Sahihi)
B'Mozi Dkt. Moses M. Kusiluka
KATIBU MKUU KIONGOZI
24 Oktoba, 2025

1761287430011.png

1761297101160.png

1761297154294.png
 
Kufuatia Tume Huru ya Uchaguzi kutangaza Jumatano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 kuwa siku ya Uchaguzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametamka siku hiyo ya Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko. Tamko hilo ni chini ya Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35.

1761287506332.png
 
TAARIFA KWA UMMA​

Kama inavyofahamika, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza siku ya Jumatano tarehe 29 Oktoba, 2025 kuwa siku ya kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

Aidha, kwa madhumuni ya kuwawezesha wananchi wenye sifa stahiki wakiwemo watumishi wa umma na wafanyakazi katika sekta binafsi kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga kura, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutumia mamlaka aliyopewa chini ya Sheria ya Sikukuu za Kitaifa Sura 35, ameidhinisha tarehe 29 Oktoba, 2025 kuwa siku ya mapumziko.

Imetolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,

(Sahihi)
B'Mozi Dkt. Moses M. Kusiluka
KATIBU MKUU KIONGOZI
24 Oktoba, 2025

View attachment 3492801

View attachment 3492803
JamiiCheck
 
Back
Top Bottom