Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Naam naona wamepewa chuma ya kazi, designed kwenda kokote inavumiliq masiah ya mtanzaniaRais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini.
Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 toleo la 2023.
Makabidhiano ya magari pamoja na vitendea kazi hivyo ni sehemu ya jitihada za Serikali katika kuhakikisha kunakuwa na usimamizi bora wa ardhi, huku sera hiyo mpya ikitarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya ardhi.
Yale ya zamani yapo wapi?Hapo utakuta matumizi yake makubwa ni kupigia tu misele na safari za hapa na pale, badala ya kutumika kwa matumizi sahihi.
Kwanza zimenunuliwa kwa ufisadi bei juu, pia hapo zitatumika vibaya na mwisho wa siku watajiuzia kwa bei ya nyanyaHapo kuna 10 zinaenda kupiga mzinga na kufa mazima kabla mwaka haujaisha.. Kuna kumi ziaenda kubadilishwa namba kuwa private kwa matumizi binafsi..
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini.