Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kabila la wamasai wanakawaida ya kuhamahama hali inayoweza kuleta changamoto katika zoezi la sensa mwaka 2022.
Amesema watu wasipojitokeza itakuwa ngumu kupanga mipango ya maendeleo katika maeneo husika kwa kupeleka miradi isiyotosheleza.
Sensa ya uhesabuji watu na makazi inatarajiwa kufanyika mwaka 2022.