Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni ubingwa wa nne mfululizo. Kwa zaidi ya miaka 85, upinzani wa Yanga na Simba umeendelea kuwa burudani kwa mamilioni ya mashabiki ndani na nje ya nchi. Endeleeni kutupa burudani.
mama kafanya kazi kubwa sana kwenye sekta ya michezo nchini
binafsi naungana nae katika hizi pongezi kwa YANGA, michezo iwe moja ya kielelezo bora cha amani ya nchi na umoja wetu watanzania