Rais Samia akatisha hotuba na kunywa Kahawa kwenye Mkutano wa 3 wa Nchi zinazozalisha Kahawa Afrika 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja kati ya sifa kubwa za kahawa ni kuchangamsha akili, huku akitoa ushuhuda wa yeye kuwa mtumiaji mzuri wa kinywaji hicho.

Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi Februari 22, 2025 wakati akihutubia mkutano wa tatu wa kahawa barani Afrika ambao unafanyika kwa siku mbili kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere uliopo jijini Dar es Salaam.

Your browser is not able to display this video.
 
Urais unanona pata wanawake wa maifa mbalimbali na ongeza furaha hapa





https://lauradate.com/main-page?source=land&referrer=https%3A%2F%2Flauradate.com%2Fland%2Fsp%2F878f16fd%2F%3Futm_source%3Dtaboola%26utm_medium%3Dcpc%26tbclid%3DGiCkKcmz64rf9Arzsbu_A4UMo14_TvOukrhUTlV71S9nZCDusWgozN3B_7vFt-GpATCorFM%26campaign%3DTB_Lauradate_Worldwide_All_Native_Reg_NewU_Reach-No-Yahoo_29Nov%26campaign_id%3D43424060%26platform%3DSmartphone%26site%3Doperasoftware-operamini%26siteid%3D1365544%26ad%3Dhttp%253A%252F%252Fcdn.taboola.com%252Flibtrc%252Fstatic%252Fthumbnails%252F2848c334aadb2aca04ae45305142a981.jpg%26subid%3DGiCkKcmz64rf9Arzsbu_A4UMo14_TvOukrhUTlV71S9nZCDusWgozN3B_7vFt-GpATCorFM%26partner%3Dtaboola_lauradate%26title%3DDating%2520for%2520Mature%2520Singles%26campaign_item_id%3D4072780342%26creative_name%3DNF_11639_08_LatAm_Taboola_1280x720_Static%26tblci%3DGiCkKcmz64rf9Arzsbu_A4UMo14_TvOukrhUTlV71S9nZCDusWgozN3B_7vFt-GpATCorFM%23c3RlcDE%3D
 
What???
 
Sifa za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…