Rais Samia akiagana na rais Chapo wa msumbiji mara ya kuhitimisha ziara yake

Rais Samia akiagana na rais Chapo wa msumbiji mara ya kuhitimisha ziara yake

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kiserikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2025.

Pia Soma: Rais Daniel Chapo awasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi
IMG-20250509-WA0179.jpg
IMG-20250509-WA0176.jpg
IMG-20250509-WA0176.jpg
 
Back
Top Bottom