Swali ili limetokana na lawama ambazo watu wamekuwa wakizitoa kwa Freeman Mbowe kuwa kwanini alikwenda kwenye maridhiano na kwanini alipotoka jela alikubali kwenda Ikulu kwa Rais Samia. Kila mmoja ametoa mawazo yake na walio wengi bila sababu (reason).
Sasa kwa hili la kuwaweka jela/mahabusu, bila kosa, wakiitwa na Rais Samia kuwa njoo tuongee kuhusu haya masaibu yaliyowapata, Je, aende au asiende?
Soma Pia:
Kwangu mimi, muungwana hakatai wito hukataa analoitiwa!
Sasa kwa hili la kuwaweka jela/mahabusu, bila kosa, wakiitwa na Rais Samia kuwa njoo tuongee kuhusu haya masaibu yaliyowapata, Je, aende au asiende?
Soma Pia:
- Je, maridhiano ya Mbowe na Ikulu ndo yanaitesa CHADEMA na upinzani kwa ujumla?
- Mbowe asikitishwa na wanaobeza maridhiano ya CCM, CHADEMA
Kwangu mimi, muungwana hakatai wito hukataa analoitiwa!