Rais Samia akimuita Mbowe na uongozi wake kufanya mazungumzo ya masaibu yaliyowapata utamshauri vipi Mbowe?

Hakuna kitu kama hicho hizo ni speculation za hawa majambazi wanaovaa uniform
Mkuu unaskiza xnaa wanasiasa kuliko serikali yako ...kumbuka hao nia yao ni kuingia ikulu no matter what kwa hio hutakaa kuona wanasuport juhudi
Zozote za serikali
Na cc wananchi ndio mtaji wa wanasiasa .
 
kumbuka hao nia yao ni kuingia ikulu no matter what kwa hio hutakaa kuona wanasuport juhudi
Zozote za serikali
Na cc wananchi ndio mtaji wa wanasiasa .
Mmoja 2015 baada ya kumchukua Lowasa alisema wako tayari kumtumia shetani ili mradi waingie Ikulu. They are worse than ccm.
 
Mkuu unaskiza xnaa wanasiasa kuliko serikali yako ...kumbuka hao nia yao ni kuingia ikulu no matter what kwa hio hutakaa kuona wanasuport juhudi
Zozote za serikali
Na cc wananchi ndio mtaji wa wanasiasa .
Uzuri nina uwezo wa kutambua kweli ni ipi. Hata hao walioko serikalini ni wanasiasa pia.
 
"Watanganyika wamenituma kukwambia wewe mtumishi wao(Rais) kwamba wamechoka na hawatakubali kuona na kusikia rasilimali na urithi walioachiwa vinatumika vibaya na kuendelea kufujwa na serikali unayoiongoza! Watanganyika wamesema basi inatosha"

Maneno ya Mbowe kwa Rais Samia
 
Usichanganye watu maksudi. Watu hawajawahi kulalamikia mbowe kuongea na rais, wanacholalamikia ni mbowe kuwahujumu kwa kukubali kuhongwa.

Hayo mapesa yaliyomwagwa chadema na anayeitwa mama Abdul, kama Lissu alivyosema Iringa yalipokelewa na nani?
Kutoa na kupokea rushwa ni makosa ya jinai na kimaadili pia.
Tusijadili kama ushabiki wa Simba na Yanga.
 
Yaani unataka akina Mbowe wageuzwe kama watoto, unamtia konzi analia, halafu unamuita kumbembeleza na kumlambisha asali atulie!
Huyu mama bila siasa za ngangari ngunguri hatufiki popote.
Unortunately Mbowe hawezi, hana guts wala uwezo wa kumtia kashkash Samia, wanajuana!
 
Aende kwenye wito huo, hiyo ndio busara na ukomavu wa kisiasa kama alivyofanya hapo awali. Ila awe makini na ccm kwani hawamaanishi wanachosema. Hili ni genge la walaji wa nchi hii na wananchi wote tuwakatae kwa nguvu zote.
 
Kutoa na kupokea rushwa ni makosa ya jinai na kimaadili pia.
Tusijadili kama ushabiki wa Simba na Yanga.
Aliyesema kuna pesa chafu imemwagwa chadema ni Lissu, unaifahamu hiyo jinai kuliko Lissu anavyoifahamu?
 
Nami kesho nikionewa na polisi ataniita?........Jeshi la polisi linahitaji reform kubwa.
 
Mbowe anazingua sana na siasa zake za maridhiano!
 
Usichanganye watu maksudi. Watu hawajawahi kulalamikia mbowe kuongea na rais, wanacholalamikia ni mbowe kuwahujumu kwa kukubali kuhongwa.

Hayo mapesa yaliyomwagwa chadema na anayeitwa mama Abdul, kama Lissu alivyosema Iringa yalipokelewa na nani?
Aliyetoa mapesa kama mna ushahidi katoa mbona hamumsakami mnamuogopa? Mnamtaja Mbowe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…