GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
​
 
Uchaguzi hu ushaingia nuksi tusidanganyane watanganyika haupo.
 


Mama maigizo tu kila mtu anajua hakuna uchaguzi hapa zaidi ya kuweka ndugu na mashoga zao yeye na kikwete na wana mitandao wahuni
 
Wanajadili Wampe Hashimu Rungwe Sipunda Na Zitto Kabwe,majimbo Mangapi Mangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…