Rais Samia akishiriki kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 25 ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere

Rais Samia akishiriki kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 25 ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere

Masuala ya mitano tena yatasikika sana kuelekea 2025, hiyo ni shughuli ya kumuenzi Rais wa kwanza wa Tanzania cha ajabu inapambwa na vijana wanaompigia debe Samia.

Safari bado ni ndefu.
 
My Take
Hongera Madam President,Nchi Iko salama na inaendelea kuenzi Utamaduni na Waasisi Wetu.

Kazi inaendelea 👇👇

Rais Samia Suluhu Hassan alivyokabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kukabidhi kwa kikosi maalum kutakachoenda kupeleka Mwenge wa Uhuru katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.

 
👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
 
Fuatilia yanayojiri kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kutoka uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza...
Hakuna mtu ana muda wa kufuatilia habari za majizi.
 
Back
Top Bottom