Fuatilia yanayojiri kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kutoka uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, leo Oktoba 14, 2024.
Masuala ya mitano tena yatasikika sana kuelekea 2025, hiyo ni shughuli ya kumuenzi Rais wa kwanza wa Tanzania cha ajabu inapambwa na vijana wanaompigia debe Samia.
My Take
Hongera Madam President,Nchi Iko salama na inaendelea kuenzi Utamaduni na Waasisi Wetu.
Kazi inaendelea ππ
Rais Samia Suluhu Hassan alivyokabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kukabidhi kwa kikosi maalum kutakachoenda kupeleka Mwenge wa Uhuru katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Fuatilia yanayojiri kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kutoka uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza...
Fuatilia yanayojiri kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kutoka uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, leo Oktoba 14, 2024.