Rais Samia akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa eneo huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), 12-9-2022

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika ( AfCFTA) katika Ukumbi wa JNICC - Dares Salaam, tarehe 12 Septemba, 2022

 
Kwakweli Mama yuko fiti kwa hiyo Ofisi
 
Kwa makongamano,warsha na ziara za nje ya nchi yuko vizuri sana..ila sasa matokeo ni uhasi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa makongamano,warsha na ziara za nje ya nchi yuko vizuri sana..ila sasa matokeo ni uhasi.

#MaendeleoHayanaChama
Tembea ndugu, miradi yote inaendelea vizuri.

Kilichobakia ni Katiba Mpya tu.
 
Mama yuko vizuri sana aisee watanzania tunajivunia kua na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…