Rais Samia akiteua huwaapisha Watendaji Ikulu, kwanini Dkt. Magufuli aliwaapisha Chato?

malang0

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
440
Reaction score
523
Tumemwona Rais Samia akiteuwa watendaji na kuwaapisha ikulu, Hayati Magufuli aliwezaje kuapisshaa watendaji Chato?
 
Kwa sasa huwezi kuwalinganisha kwani bado mapema. Yawezekana huko mbeleni nae Mama akayarudia ya Mwendazake.
 
ukitaka ongeza pato la wanajamii wa mahali fulani we anzisha shughuli mbali mbali ktk eneo hillo

tafuta kijiji kisicho na maendeleo...fanya mchakato wa kuonesha dhahabu/madini yanapatikana baada ya mwezi patafurika na wenyeji watapata mapato
 
Tumemwona Rais Samia akiteuwa watendaji na kuwaapisha ikulu, Hayati Magufuli aliwezaje kuapisshaa watendaji Chato?
Mwendazake alikuwa mshamba, haambiliki na hajali protocol wala katiba. Ndiyo maana hatunaye tena. Tanzania haikustahili kutawaliwa na mtu wa calibre ile. Ni ajali tu ya kisiasa ya mwaka 2015 ndiyo iliyomleta madarakani. ila Tumejifunza, viongozi lazima waandaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…